Elimu
27 March 2024, 8:01 pm
Wazazi watakiwa kuwasimamia watoto ili kufikia ndoto zao za kielimu.
“Wazazi tunatakiwa tujue mahitaji ya watoto wetu na tuwasaidie kuwatimizia mahitaji hayo kwani wakati mwingine ndiyo yanasababisha wawe watoro.” Mzazi Na Joyce Elius. Kikao cha wazazi na uongozi wa shule ya seckondari ya Terrat wilaya simanjiro pamoja uongozi wa kata…
20 March 2024, 4:51 pm
Wazazi wahimizwa kutoa michango ya shule kwa wakati.
Kikao cha wazazi na uongozi wa shule wa msingi Terrat Wilaya ya Simanjiro kimeazimia kushirikiana kuhakikisha kutatua changamoto zilizopo shuleni hapo ikiwepo tatizo la upungufu wa walimu. Na Joyce Elius, Terrat. Kikao hicho kilichofanyika tarehe 19.03.2024 kimeongozwa na Mwalimu Mkuu…
8 March 2024, 6:27 pm
Unakabiliana vipi na tamaduni zinazomnyima mwanamke fursa ya kushiriki katika mi…
leo ni siku ya maadhisho ya wanawake duniani na kauli mbiu ya mwaka huu inasema ” Wekeza kwa mwanamke kuharakisha maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii” Bado kuna mifumo dume na mila potofuĀ zinazoweka vikwazo na masharti kwa wanawake…
24 February 2024, 12:12 pm
Shoroba za wanyamapori Simanjiro zaitesa jamii vijijini
Uwepo wa njia za wanyamapori maarufu kama shoroba kwenye maeneo ya vijijini imekuwa changamoto kwa wananchi kwa kile wanachodai kuwa hawakushirikishwa katika uanzishwaji wake. Na Baraka David Ole Maika. Wakizungumza na kipindi cha Uhifadhi na Mazingira cha Orkonerei FM Radio,…
9 February 2024, 10:39 am
Familia za jamii ya kimasai zabadilika katika maamuzi ya familia
Wapo wanaoamini kuwa ni muhimu wanawake kushiriki katika kutoa maamuzi kwenye ngazi ya familia na wengine wanaona si muhimu,wakiamini kuwa ni kinyume na mila na tamaduni za jamii ya kimaasai. NA Baraka David Ole Maika Jamii ya kimaasai ni jamii…
8 February 2024, 7:12 pm
Wanawake wanashiriki vipi katika kufanya maamuzi ya familia?
Wanakijiji wa kijiji cha Terrati Simanjiro mkoani Manyara Mwandishi wetu akifanya mahojiano na mwenyekiti wa Malaigwani wilaya ya Simanjiro Lesira Samburi. Mwanamke amekuwa akikosa nafasi ya kutoa maamuzi ngazi ya familia ikisemekana sababu kubwa ni mila na desturi za jamii…
25 March 2022, 8:18 pm
WAZAZI WAMENUNUA GARI YA KUWAHUDUMIA WAALIMU SHULE YA SECONDARY MWANDET ARUSHA
Na. Nyangusi ole sang’da Arusha. Wazazi wenye watoto wanaosoma shule ya Sekondari Mwandet, halmashauri ya Arusha, wamekabidhi gari kwa shule hiyo, gari aina ya Coaster yenye namba za usajili T 169 DQX pamoja na kadi ya gari hilo, gari ambalo…
20 March 2022, 9:24 am
TAKUKURU ARUMERU YAKABIDHI MIONGOZO YA MIKAKATI WA KUPAMBANA NA RUSHWA CHINI (TA…
Na Nyangusi ole sang’da Arusha.Taasisi ya kupambana na rushwa TAKUKURU Wilaya ya Arumeru imekabidhi miongozo ya TAKUSKA ambayo ni mikakati ya kupambana na rushwaNchini kwa kuwashirikisha vijana wa SKAUTI ,inayolenga kuwapa mafunzo vijana hususani wanafunzi wa Shule za Msingi na…
16 March 2022, 7:41 pm
ZIARA YA KAMATI YA SIASA WILAYA YA KICHAMA MERU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI.
HABARI ARUSHA. Kamati ya Siasa Wilaya ya Kichama Meru imepongeza utekelezaji wa miradi yenye thamani ya Shilingi Milioni 470 inayoendelea katika Shule mpya ya Ambureni. Akizungumza wakati wa Ziara Shuleni hapo Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM )Wilaya ya kichama…
13 March 2022, 9:14 pm
Anuani za makazi Arusha.
Na. Nyangusi ole sang’da. Watalamu watakaoshiriki kwenye zoezi la kitaifa la ukusanyaji na upangaji wa Anwani za Makazi, halmashauri ya Arusha mkoani Arusha, wametakiwa kufanya kazi hiyo kwa weledi na kuweka uzalendo mblele huku wakizingatia umuhimu wa zoezi hilo kwa…