Nuru FM

Uchumi

18 April 2025, 5:10 pm

TCCIA Kilolo yaja na maonyesho Ya kilimo Na biashara mwezi Mei

Na Joyce Buganda Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo TCCIA imeandaa maonesho ya Biashara, viwanda na kilimo yatakayofanyika Wilayani Kilolo Mkoani Iringa kuanzia Mei 21 hadi Mei 25, 2025 yakilenga kuwapatia nafasi wahusika wa sekta hizo kuonesha shughuli wanazozifanya ili…

16 April 2025, 1:29 pm

Wazazi, walezi wahimizwa kuzingatia chanjo ya polio

Picha ya mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph. Picha na Anna Mhina ” Wazazi na walezi hakikisheni mnazingatia tarehe ya chanjo ya polio” Na Edda Enock Wazazi na walezi manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia kikamilifu chanjo kwa…

16 April 2025, 11:04 am

Bei ya mchele chanzo cha ubwabwa kuuzwa gharama kubwa Iringa

Na Geaz Mkata na Rogasia Kipangula Wafanyabiashara wa Mchele Manispaa ya Iringa wamesema kuwa Bei ya Mchele imepanda kuanzia shilingi 2000 mpaka shilingi 3200 kwa kilo moja. Wakizungumza na Nuru FM baadhi ya wafanyabiashara wa bidhaa hiyo wamesema kuwa bei…

11 April 2025, 6:52 pm

Dereva bodaboda auwawa Babati

Dereva wa boda ameuwawa na watuwasiojulikana kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali maeneo ya kichwani na mwili wake kutelekezwa katika eneo la ofisi ya mashataka lilipo mtaa wa Negamsi mjini Babati mkoani Manyara Na George Agustino Kijana aliyefahika  kwa…

11 April 2025, 3:30 pm

Mfanyabiashara auawa Manyara               

Mfanyabiashara  mkoani Manyara akutwa ndani ya nyumba yake amefariki baada ya kudaiwa kuuawa kikatili  na watu wasiojulikana kwa kuchinjwa nakitu chenye ncha kali. Na Mzidalfa Zaid Mfanyabiashara  maarufu wilayani  Babati mkoani Manyara, Thomas Karatu (48), ameuawa kikatili kwa kuchinjwa  na…

8 April 2025, 8:22 am

Bei ya viazi mviringo Iringa yapaa mwezi April

Na Editha Maximillan na Israel Nchimbi Wafanyabiashara wa zao la Viazi Mviringo katika Soko Kuu Manispaa ya Iringa wamesema kuwa bei ya zao hilo imepanda ikilinganishwa na ilivyokuwa katika mwezi wa Ramadhan. Wakizungumza na Nuru Fm baadhi ya Wafanyabiashara wa…

5 April 2025, 9:11 pm

Udumavu Katavi kero kwa viongozi wa serikali

“Mkoa wa Katavi una changamoto ya udumavu kwa asilimia 32%.” Na Samwel Mbugi- Katavi Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Hozza Mrindoko amewasisitiza wananchi kuzingatia lishe bora kwa kuzingatia makundi sita (6) ya chakula ili kuondokana na udumavu. Ameyasema hayo…

5 April 2025, 7:18 am

CAMFED watoa mafunzo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na Adelphina Kutika Wasichana waliopokea msaada kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Campaign for Female Education (CAMFED) wameiomba Serikali kuhakikisha wakulima wote nchini wanapata mbolea ya ruzuku kwa wakati, ili kuwasaidia kuongeza uzalishaji wa mazao na kufikia malengo ya Serikali…

27 March 2025, 4:51 pm

Zaidi ya waganga 80 wa tiba asili wapatiwa mafunzo Katavi

Picha ya meneja wa mradi wa VUMA Henry  Bendera. Picha na Restuta Nyondo “Tumebaini vijana wengi hukimbilia kwa waganga kupata matibabu” Na Restuta Nyondo Zaidi ya waganga wa tiba asili 80 kutoka katika wilaya za Mpanda na Tanganyika mkoani Katavi wamepatiwa…