Nuru FM

Siasa

13 June 2025, 12:05

Mbeya jiji yazindua mpango mkakati wa maendeleo 2025–2030

Mbeya yazindua Mpango Mkakati wa Maendeleo 2025–2030 kufungua ukurasa mpya wa maendeleo jumuishi Na Samwel Mpogole Halmashauri ya Jiji la Mbeya imezindua rasmi Mpango Mkakati wa Maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, 2025 hadi 2030, katika hafla iliyofanyika jijini…

13 June 2025, 11:09 am

Wanawake wahimizwa kugombea nafasi za uongozi

Wanawake wamehamasishwa kujitokeza kwa wingi kupambania nafasi za uongozi ili kuingia kwenye ngazi za uamuzi. Na Hafidh Ally Kuelekea uchaguzi Mkuu wa Okt 2025, Wanawake Mkoani Iringa wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ili kupata wawakilishi watakaosemea changamoto zao.…

June 7, 2025, 7:00 pm

‘DC Monduli awatelekeza wananchi wake’

Wananchi wa kijiji cha Mti mmoja wamepoteza matumaini yao ya utatuzi wa mgogoro wa ardhi baina ya mtu binafsi na eneo la malisho maarufu Sepeko baada ya Mkuu wa Wilaya ya Monduli kutoonekana katika eneo la mgogoro kama alivyoahidi. Na…

30 May 2025, 12:45

Wanaosambaza bidhaa bandia kukiona

Wanaojihusisha na uuzaji pamoja na usambazaji wa bidhaa bandia kuchukuliwa hatuakali ikiwa ni pamoja na kufikishwa mahakamani Na Samwel Mpogole Serikali imesema haitosita kumchukulia hatua  mzalishaji au msambazaji wa bidhaa yeyote atakayezalisha u kusambaza bidhaa  feki ikiwemo kuingiza nchini kwani…

29 May 2025, 9:00 am

Safari ya wanawake kuelekea uchaguzi mkuu

Makala hii inatazama ni upi ushiriki wa wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Katika kuondokana na changamoto ya wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi katika uchaguzi, Nuru FM imeandaa makala yenye lengo la…

27 May 2025, 11:11 am

RC Babu akemea wanaodharau zao la kahawa

“Mazao ya kibiashara katika nchi yetu hususani zao la kahawa kwa mkoa wetu wa Kilimanjaro, tumedharau zao la kahawa, tunakata mikahawa na kujenga majumba lakini tukumbuke kwamba mikahawa hiyo ndio imewasomesha watoto wetu kufika chuo kikuu” Na Elizabeth Mafie-Moshi Kilimanjaro…

May 26, 2025, 12:58 pm

Mgogoro wa barabara watatuliwa Arusha

Mgogoro wa barabara uliodumu kwa takribani wiki mbili baina ya wananchi na mwekazaji katika kata ya Olmot mtaa wa Mateves Ngaramtoni ya chini umetatuliwa na wananchi kupata barabara. Na Gasper Sambweti Wakizungumza na Savvy FM wananchi wa Ngaramtoni ya chini…