Nuru FM
Nuru FM
26 August 2025, 12:06 pm
Uraghbishi siyo mradi, Uraghbishi ni Maisha ya kila siku yakubadilisha fikira na mitazamo ya Jamii katika ushiriki na utatuzi wa changamoto zinazowakabili katika Jamii maana hamna siku changamoto zitaisha katika hivyo wananchi wawe na uwezo wa kuzitatua wao wenyewe, lengo…
19 August 2025, 12:40 pm
Mgombea huyo amechukua fomu kutetea nafasi yake ya Udiwani kupitia CCM baada ya kuongoza Kata hiyo kuanzia mwaka 2020-2025. Na Adelphina Kutika Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Gangilonga, Mheshimiwa Likotiko Kenyata,amechukua rasmi fomu ya kugombea tena nafasi ya udiwani kupitia…
August 13, 2025, 11:21 am
“Pombe ina athari kwa mama mjamzito moja kwa moja hasa anayetumia lakini pia sigara ina madhara makubwa haijalishi anavuta au havuti hivyo wajawazito hawatakiwi kuvuta au kutumia pombe wakati wa ujauzito kwani inaweza kuathiri mtoto aliyepo tumboni” Amesema Dkt. Ally.…
August 10, 2025, 8:22 pm
“Mimi Janeth naamini katika kutoa katika mizunguko yangu yote naamini ukimtolea Bwana unabarikiwa zaidi tujifunze kutoa kwa moyo tuone baraka za Bwana zinavomiminika”Mkurugenzi wa kampuni ya Janeth Moters Janeth Webiro Na Amos Marwa Kampuni ya Janeth Motors limited inayojishughulisha na…
6 August 2025, 7:01 pm
Na Salma Rahim-Arusha Wakulima na wafugaji kanda ya kaskazini kwenye mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro wameaswa kutumia Kilimo cha kisasa chenye tija kwa kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya na Kilimo ili kuongeza uzalishaji wa mazo na Mifugo. Hayo…
5 August 2025, 11:58 am
Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kuwa mchakato huo wa kupata wagombea wa Ubunge utaamuliwa katika vikao vya ndani ya Chama. Na Hafidh Ally Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia mchakato wake wa ndani wa kura za maoni kwa ajili ya kumpata…
31 July 2025, 11:46 am
Rushwa imetajwa kuwa miongoni mwa adui wa haki katika uchaguzi jambo linalopelekea kupingwa. Na Fredrick Siwale Wagombea na Wajumbe Jimbo la Mafinga Mkoani Iringa wameonywa kutojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea kura za maoni na Uchaguzi mkuu. Onyo hilo limetolewa…
30 July 2025, 12:08 pm
Wakati baadhi ya watia nia ya kugombea nafasi za uongozi wakilalamika majina yao kutorudishwa, hali hiyo imekuwa tofauti kwa watia nia Iringa Mjini. Na Hafidh Ally Siku moja baada ya Chama cha Mapinduzi CCM kitangaza majina ya watia nia ya…
July 28, 2025, 11:36 pm
Mwalimu wa shule ya sekondari ya Tunamkumbuka iliyopo kata ya Butelankuzi Halmashauri ya Bukoba, anatafutwa na jeshi la polisi baada ya kumbebesha mimba mwanafunzi wa shule hiyo aliyekuwa anasoma kidato cha nne. Na Anold Deogratias Mkuu wa Wilaya ya Bukoba…
9 July 2025, 6:27 pm
Makala hii inaelezea ushiriki wa wanawake katika kutia nia kwenye Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Kipenga cha uchukuaji fomu kikipulizwa kwa baadhi ya vyama kuanza mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi za uongozi…