Nuru FM

Mafunzo

17 December 2025, 09:01

Wananchi wapongeza ujenzi daraja la mto Luiche Kigoma

Serikali katika Manispaa ya Kigoma Ujiji imesema inaendelea kuhakikisha inatekeleza miradi yote ambayo itasaidia kuchochea maendeleo kwa wananchi Na Lucas Hoha Baadhi ya wananchi wa Kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji wamepongeza hatua ya serikali  kujenga daraja katika mto…

13 December 2025, 12:03

RC Sirro aipongeza Buhigwe usimamizi vyanzo vya maji

Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo ili kuhakikisha inaimarisha utunzaji wa vyanzo vya maji Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amesema jamii inapaswa kuendelea kutunza vyanzo vya Maji…

3 December 2025, 5:28 pm

Jamii ya Mikumi yainuka kiuchumi kupitia ushirikiano na TANAPA

Na Mary Julius. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania TANAPA  limeendelea kushirikiana kwa karibu na jamii inayozunguka Hifadhi ya Mikumi kwa lengo la kuimarisha uhifadhi na kuinua maendeleo ya wananchi. Afisa Uhifadhi Daraja la Kwanza, Emakulata Mbawi, anayesimamia kitengo cha…

26 November 2025, 9:12 am

Saashisha akutana na waendesha pikipiki na bajaji Hai

Pichani ni Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe(kulia)na kiongozi wa madereva bajaji wilaya ya Hai Baraka Ngoti(picha na Praygod Munisi) Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amekutana na madereva pikipiki na bajaji wa wilaya ya Hai kwa lengo…

23 November 2025, 9:32 am

Hai Teachers Saccos yafanya mkutano mkuu, Hisa zapanda

Pichani ni Mwenyekiti wa Hai Teachers Saccos Baraka Owenya katika mkutano mkuu wa mwaka 2025 uliofanyika katika viwanja vya Saccos hiyo vilivyopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro( picha na Elizabeth Mafie) Hai Teachers Saccos yafanya mkutano mkuu wa mwaka 2025 ,yaweka…

17 November 2025, 12:45

Wananchi watakiwa kutunza miundombinu ya maji Uvinza

Serikali Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma imesema inaendelea kuboresha miundombinu ya maji ili kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa wananchi umaimarika zaidi kwa kupata maji safi na salama Na Sadick Kibwana Wananchi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wametakiwa kusaidia kutunza na kuchangia huduma…

13 November 2025, 09:04

RC Kigoma ataka miundombinu ya barabara mahale kuboreshwa

Serikali imetaka miundombinu ya barabara kuelekea hifadhi ya mahale kuimarishwa ili kurahsisha usafir wa watali Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, amewaelekeza Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, pamoja na Wakala wa Barabara za Mijini na…

27 October 2025, 21:38 pm

CUF yaahidi maendeleo kwa Wananchi wa kata ya Madimba

Mgombea Ubunge wa Mtwara Vijijini kupitia CUF, Shamsia Azizi Mtamba, amewataka wananchi wa Kata ya Madimba kuendelea kumuamini na kumpa kura, akiahidi kuendeleza maendeleo na kulinda kura zao dhidi ya propaganda za kisiasa Na Musa MtepaMtwara–Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la…

25 October 2025, 14:45 pm

Vikundi vya Jogging Mtwara vyahamasisha uchaguzi wa Amani

Vikundi kumi vya jogging Mtwara Mikindani vimeshiriki mbio fupi kuhamasisha ushiriki wa wananchi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, zikiwa na kaulimbiu “Mazoezi kwa Afya, Uchaguzi wa Amani ni Msingi wa Maendeleo.” Na Musa Mtepa MTWARA-Vikundi kumi vya jogging kutoka…

24 October 2025, 6:16 pm

Habari za uongo kikwazo kipindi cha uchaguzi

Kuelekea uchaguzi mkuu, kumekuwa na ongezeko la habari za uongo na uzushi zinazosambazwa hasa kupitia mitandao ya kijamii. Habari hizi huwalenga wagombea, vyama vya siasa na taasisi mbalimbali kwa lengo la kupotosha umma, kuchafua sifa za watu au kuvuruga amani.…