Nuru FM

kijamii

7 February 2025, 4:51 pm

Watendeji wa Dawati la Jinsia wametakiwa kujituma

Na Omar Hassan Watendaji wa Madawati ya Jinsia na watoto ya Jeshi la Polisi wametakiwa kuongeza nguvu katika kushughulikia Kesi za Udhalilishaji wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto ili kudhibiti matukio hayo na kuifanya jamii ibaki salama.Akifungua mafunzo ya…

28 January 2025, 3:16 pm

Takukuru Iringa yabaini kasoro miradi ya maendeleo

Na Hafidh Ally Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa Takukuru Mkoa wa Iringa imebaini kasoro katika mradi wa maji wenye thamani ya Bilioni 1.5 fedha za Mfuko wa Maji wa Taifa. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Takukuru Mkoa…

28 January 2025, 12:31 pm

Wapangaji walalamikia nyuma kukosa choo Mission

Licha ya serikali kupitia wizara ya Afya kusisitiza juu ya umuhimu wa kila kaya kuwa na choo bora, bado utekelezaji wa agenda hii umekuwa wa kusua sua. Na: Amon Mwakalobo – Geita Wapangaji wanaoishi kwenye nyumba moja iliyopo maeneo ya…

25 January 2025, 5:04 pm

Mazingira machafu mighahawani yanavyohatarisha maisha ya watu

Mama n’tilie wakiendelea na shughuli zao za kupika chakula. Picha kutoka maktaba Walaji wa vyakula vya mighahawani walia na changamoto wanazozipata kutokana na vyakula hivyo. Na Kelvin Mambaga Wananchi wa wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza namna ambavyo mazingira ya…

23 January 2025, 11:26 am

Lissu atakiwa kuzisemea changamoto Cha wananchi

Na Cleef Mlelwa Wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA mjini Makambako wamemtaka Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhakikisha wanajenga ofisi zake na kuwa tumaini kwa wananchi kwa kuzisemea changamoto zinazoikabili jamii hasa katika sekta ya afya,elimu na kilimo. Wakizungumza…

16 January 2025, 2:27 pm

Shirika la ICAP latoa pikipiki 50 idara ya afya Geita

Katika kuendelea kurejesha kwa jamii, shirika la ICAP limefadhili jumla ya pikipiki 50 kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii mkoani Geita. Na: Edga Rwenduru – Geita Shirika la ICAP linalotoa huduma ya matibabu na matunzo kwa waathirika wa Virusi…

15 January 2025, 10:11 pm

Jamii yaaswa kula mboga za majani kuepuka magonjwa

Kwa sababu mboga za majani zina madini mbalimbali yanayosaidia katika kuimarisha afya kwa ujumla. Na Emmanuel Kamangu Jamii katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma imeshauriwa kujenga tabia ya kula mbogamboja za majani kwa ajili ya kuimalisha mfumo wa…