Nuru FM

kijamii

3 March 2025, 11:03 am

Diwani Nziku awahimiza wanawake Iringa kutunza Mazingira

Na Halfan Akida Wanawake wa Manispaa ya Iringa wamehamasishwa kuwa na utamaduni wa kutunza mazingira ikiwemo kupanda miti ya vivuli pamoja na matunda katika maeneo yao. Wito huo umetolewa na , Diwani wa Viti maalum Manispaa ya Iringa, Dora Nziku…

28 February 2025, 4:20 pm

Chukueni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa marburg

Wafanyakazi wa Uvinza FM wamepatiwa elimu juu ya ugonjwa wa marburg na namna ya kujilinda na ugonjwa huo. Na Linda Dismas Msimamizi wa vipindi wa Uvinza fm Bw. Abdunuru Shafii ameeleza namna ambavyo ugonjwa wa Marburg unaenezwa pamoja na kuwataka…

22 February 2025, 6:59 pm

Ukosefu wa mfumo wa utiririshaji maji kilio kwa wananchi

Wananchi mkoa wa Kigoma walia na serikali juu ya ukosefu wa mfumo wa utiririshaji wa maji wadai kunawapelekea kupatwa na magonjwa ya mlipuko. Na Linda Dismas Wananchi wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma wameeleza changamoto wanazokumbana nazo kutokana na kutokuwa na…

18 February 2025, 8:54 pm

Waombwa kuwasaidia wenye uhitaji Iringa

Na Joyce Buganda Wadau wa maendeleo mkoani Iringa wametakiwa kuwa na utaratibu wa  kujitoa  na kuwasaidia watu wenye uhitaji na kutowatenga. Hayo yamzungumzwa na msanii kutoka nyanda za juu kusini Ezra Francis maalufu kwa jina la Eze Nice ambae ndiye…

17 February 2025, 3:26 pm

Wananchi Narusunguti washukuru kujengewa zahanati

Wananchi wa kijiji cha Narusunguti hatimaye waagana na changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya katika maeneo jirani. Na: Edga Rwenduru – Geita Wananchi wa kijiji cha Narusunguti kata ya Busonzo wilaya ya Bukombe mkoani Geita wameishukuru serikali…

14 February 2025, 9:26 am

Washauriwa kuongeza kasi ulaji vyakula vyenye lishe bora

Serikali imeendelea kusisitiza suala la ulaji wa vyakula vyenye lishe bora kwa wazazi na watoto. Na Theresia Damas Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza imefanya tathmini ya kikao kuangazia lishe bora ikiwa na maazimio mbalimbali ikiwemo watoto kula shuleni ili kuwajenga…

11 February 2025, 4:52 pm

Wananchi waaswa kula vyakula vya kunde

Wananchi wametakiwa kujenga tabia ya kula vyakula vya jamii ya mikunde kwa lengo la kuboresha Afya. Na Theresia Damas Ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya mikunde Duniani, wananchi wametakiwa kujenga tabia ya kula vyakula jamii ya mikunde kwa lengo la…

10 February 2025, 4:41 pm

GGML yajivunia huduma za afya meli ya MV Jubilee Hope

Meli ya MV Jubilee hope imekuwa ikitoa huduma za afya kwa jamii inayozunguka visiwa mbalimbali vya Ziwa Viktoria. Na: Ester Mabula – Geita Kampuni ya Geita Gold Minning Limited (GGML) imeendelea kujivunia jukumu lao la kudhamini huduma za afya zinazotolewa…