Nuru FM

Uncategorized

25 March 2022, 7:02 am

Chelsea yaruhusiwa kuuza tiketi

CHELSEA itaruhusiwa kuuza tiketi za michezo ya ugenini, mechi za mataji zinazohusisha timu ya wanawake baada ya serikali ya Uingereza kufanya mabadiliko kwenye leseni maalum ya klabu hiyo. Klabu hiyo haikuweza kuuza tiketi tangu mmiliki Roman Abramovich alipowekewa vikwazo na…

3 September 2021, 9:01 am

Wanaume wa mahanzi iringa wapigwa na wake zao

Iringa Na Hafidh Ally Wanaume wa Kijiji cha Mahanzi Kilichopo Kata ya Wasa Wilaya ya Iringa wamelalamikia vitendo vya wanaume kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kupigwa na wake wao. Wakizungumza katika  Ziara ya kikazi ya Mkuu wa Wilaya…

15 March 2021, 10:59 am

Wanabari pingeni ukeketaji

Waandishi wa habari wa redio za jamii nchini wametakiwa  kuelimisha jamii juu ya kupinga ukeketaji na ndoa za utotoni  dhidi ya wanawake na watoto hayo yamezungumzwa na afisa maendeleo ya jamii halmashauri ya wilaya ya Arusha Angela Kiama Mvaa katika…

7 December 2020, 5:14 pm

Wanaume kukosa ujasiri wa kuripoti matukio ya Ukatili unaowakabili

Miongoni mwa sababu zinazotajwa na kupelekea wanaume kushindwa kufikisha taarifa za kufanyiwa ukatili katika vyombo vinavyohusika ni pamoja na uwepo wa Mtazamo Hasi na uwoga wa kudharirika iwapo jamii itabaini suala hilo Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha mnadani Mkurugenzi…

7 December 2020, 10:16 am

Mbabe wa simba apigwa na Yanga

Yanga yaendelea kua timu pekee ligi kuu ambayo mpaka sasa haija poteza mchezo hata mmja hii baada ya kuifunga ruvu shooting goli mbili dhidi ya moja katika mchezo uliopigwa katika uwanja wa Mkapa jijini dar-es-saalamKocha wa Yanga, Cedric Kaze anasema…

26 November 2020, 6:54 am

Wanafunzi 130 warudishwa nyumbani kwa siku 7.

Wanafunzi 130 wa shule ya sekondari ya Tosamaganga iliyopo wilayani Iringa wamerudishwa nyumbani kwa siku saba hadi watakapolipa shilingi elfu 35 kila mmoja baada ya kushiriki vurugu zilizosababisha uharibifu wa mali za shule wakigomea tarehe ya kuanza mtihani wa mwisho…