Mpanda FM
Mpanda FM
20 February 2026, 4:42 pm
“soko hilo linakabiliwa na changamoto ya uchakavu wa miundo mbinu hali ambayo inatishia usalama wa bidhaa za wafanyabiashara hususani nyakati za usiku.“ Na John Benjamin -Katavi Wafanyabiashara wa soko kubwa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamewaombea msamaha wa…
29/01/2026, 16:23
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga, amepinga takwimu ya asilimia 93 ya upatikanaji wa huduma za dawa mkoani Manyara , akisema si ya kweli kutokana na wingi wa malalamiko ya wananchi, huku akizielekeza halmashauri zote za mkoa huo kuhakikisha zinafikisha elimu…
6 January 2026, 10:59
Taarifa iliyotolewa kwa njia ya simu na Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Augustin Magere, chanzo cha moto huo kimebainika kuwa ni sebuleni mwa nyumba hiyo. Na Thomas Masalu, Majanga yameikumba familia moja katika eneo…
31/07/2025, 20:40
Maendeleo ya teknolojia yameleta mabadiliko makubwa katika sekta ya madini huku serikali ikikumbushwa kuwekeza katika ujuzi kwa vijana. Na Edga Rwenduru: Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu mkoani Geita wameiomba Serikali kutumia Chuo cha VETA Geita kuanzisha mitaala maalum ya…
18/07/2025, 19:20
Wanawake mkoani Geita wameendelea kuchangamkia fursa ya elimu ya ufundi katika vyuo mbalimbali vilivyopo mkoani humo ili kujikwamua kiuchumi. Na Kale Chongela: Zaidi ya wanawake 200 wakazi wa wilaya ya Chato mkoani Geita wanaonufaika na mafunzo ya ufundi stadi katika…
25/06/2024, 18:33
Tayari serikali imejenga mifumo thabiti ya udhibiti wa vitendo hivyo na kilichobaki ni ushiriki wa makundi yote ya jamii katika kuhakikisha vitendo hivyo viovu vinakomeshwa hapa nchini. Na Mindi Joseph.Watu wenye ulemavu wametakiwa kuungana na serikali katika mapambano dhidi ya…
01/11/2021, 12:15
Na; Mariam Matundu. Watu wenye ulemavu wameshauriwa kuacha kujitenga na jamii ikiwa ni mbinu moja wapo ya kuepuka ukatili dhidi yao ikiwa ni pamoja na kutengwa na kuitwa majina dhalilishi. Hayo yamesemwa na mdau wa masuala ya watu wenye ulemavu…
12/07/2021, 12:12
Na; Mariam Matundu. Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameombwa kumsaidia Rhoda Nhambali binti mwenye ulemavu wa afya ya akili ili aweze kupata matibabu. Bathromeo Nhambali ambae ni baba mzazi wa binti huyo amesema ulemavu huo ulisababisha kumkatisha masomo binti yake…
02/07/2021, 11:19
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa taarifa na uhamasishaji kwa watu wenye ulemavu kujiunga katika vikundi ni moja ya sababu inayo pelekea kundi hilo kutopata mikopo kwa wingi inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesemwa namwenyekiti wa chama cha watu wenye ulemavu wilaya ya Kondoa bwana Abedi Dutu ambapo amesema uhamasishaji kwa watu wenye ulemavu wanaoishi maeneo ya vijijini kuomba mikopo upo chini hivyo wengi wao hukosa fursa…