Uwajibikaji
13 January 2025, 13:01
Viongozi wa vijiji watakiwa kusoma mapato na matumizi
Uomaji wa mapato na matumizi kwa wananchi ni miongoni mwa viyu ambavyo vinatajwa kuwa sehemu ya kushawishi wananchi kushiriki kikamilifu kwenye suala la maendeleo kwenye maeneo yao. Na Michael Mpunije – Kasulu Viongozi Serikali za vijiji halmashauri ya wilaya ya…
11 January 2025, 2:41 pm
Wafanyabiashara CCM Katoro waomba punguzo la kodi/ushuru
Mwekezaji wa soko la CCM Katoro katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro alalamikiwa na wafanyabiashara katika soko hilo wakimtuhumu kutumia mabavu katika ukusanyaji wa kodi. Na: Ester Mabula – Geita Wafanyabiashara na machinga wanaofanya kazi katika soko la CCM…
10 January 2025, 12:39
DED Buhigwe atakiwa kusimamia ujenzi sekondari Kahimba.
wakati shule zikitarajiwa kufunguliwa wiki ijayo jumatatu ya januari 13 ambapo maelengo ya serikali ni kuhakikisha miundombinu ya madarasa inakuwa tayari na wanafunzi kuanza kuyatumia. Na Josephine Kiravu. Katibu Tawala mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri…
8 January 2025, 13:05
Wavuvi washauriwa kufuga samaki kutumia vizimba
Ili kuhakikisha samaki zinaongezeka ndani ya ziwa Tanganyika, serikaliimeendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kuwawezesha wavuvi na kuwahimiza kutumia vizimba ambavyo vitatumika kwa ajili ya ufugaji wa samaki na kusaidia kuharibu mazalia ya samaki ndani ya ziwa hilo. Na Timotheo Leonard…
20 December 2024, 8:49 am
Viongozi wapya serikali za mitaa wapewa semina elekezi kata ya Oloirien Ngorongo…
Katika kuhakikisha kunakuwa na ufanisi katika kuleta maendeleo kwa wananchi wa kata hiyo viongozi walioshinda uchaguzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa iliyopita viongozi hao wamekutana pamoja kujengewa uwezo wa namna ya kutekeleza majukumu yao. Na Saitoti Saringe Akizungumza na wenyeviti…
15 December 2024, 11:24 am
Namtumbuka atahadharisha matumizi mihuri kinyume na utaratibu
Ni kikao kazi kilichoitishwa na Diwani wa kata ya Namtumbuka Al-haji Salumu Lipwelele kwa viongozi wa vijiji waliochaguliwa hivi karibuni chenye lengo la kufahamiana na wakuu wa idara waliopo katika kata ya Namtumbuka ili kurahisisha katika utekelezaji wa majuku yao.…
13 December 2024, 15:54 pm
Blandina Chilumba aahidi maendeleo zaidi baada ya ushindi wa uchaguzi
Blandina Chilumba ametetea nafasi yake katika uchaguzi uliopita hii inadhihirisha kuwa wananchi wa mtaa wa Mihambwe bado wana Imani naye. Na Mwanahamisi Chikambu Mwenyekiti wa Mtaa wa Mihambwe, Kata ya Naliendele, Manispaa ya Mtwara Mikindani, Blandina Chilumba, ameendelea kutetea kiti…
13 December 2024, 12:39 pm
Mjumbe wa H/kuu CCM asisitiza viongozi kuonesha uongozi kwa vitendo
Hii ni baada ya matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika November 27,2024 ambapo viongozi wamechaguliwa na tayari wameanza kuwatumikiwa wananchi. Na Musa Mtepa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mtwara, Bi. Zuhura Farid,…
12 December 2024, 17:43 pm
TGNP, JUWAM chachu ya wanawake kugombea nafasi za uongozi Mtwara
Haya ni matokeo ya asasi za kirai ambazo zimekuwa zikihamasisha wanawake kushiriki katika nafasi mbalimbali za uongozi ambapo hapo awali changamoto kubwa ilikuwa ni uthubutu wa mwanamke kusimama na kupigania nafasi za uongozi mbele ya wanaume. Na Musa Mtepa Katika…
12 December 2024, 13:44 pm
Mwenyekiti CCM Mtwara Vijijini awataka wenyeviti wa vijiji kuwatumikia Wananchi
Hii ilikuwa sherehe za kumpongeza Mwenyekiti wa Kijiji cha Nyengedi Bi Lukia Mnyachi baada ya kuchaguliwa na Wananchi katika nafasi hiyo. Na Tatu Mshamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mtwara Vijijini, Nashiri Pontiya,amewataka wenyeviti wa vijiji waliochaguliwa kupitia chama…