Mpanda FM

Umeme

3 January 2025, 2:08 pm

Hatari ya maji yasiyotibiwa kwa binadamu-Kipindi

Na Katalina Liombechi Jamii imeshauriwa kutotumia maji yasiyotibiwa ili kuepuka magonjwa mbalimbali yanayotokana uchafu kama kipindupindu. Mbonja Kasembwa ni Afisa Afya katika Halmashauri ya Mlimba Wilaya ya Kilombero ameiambia Pambazuko FM kuwa kumekuwa na utamaduni wa baadhi ya watu kutumia…

23 November 2024, 6:05 pm

TAKUKURU Mara yawaonya wagombea watoa rushwa

Baadhi ya matendo ambayo yakifanyika inatafsiri kuwa ni rushwa ni pamoja na ugawaji wa tisheti, kanga, shati, chumvi, sabuni sukari au sherehe kabla wakati na baada ya uchaguzi. Na Adelinus Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kutoa taarifa za vitendo vya…

21 October 2024, 1:28 pm

Kipi kimeathiri ubora mto Mchombe?-Kipindi

AWF wamekuwa wakishirikana na Jumuiya za watumia maji kufanya tathmini ili kuona njia bora ya kufanya ubora wa Mto unaongezeka. Na Katalina Liombechi Mfuko wa Uhifadhi wa Wanyamapori Afrika AWF wameshirikiana na Jumuiya ya Watumia Maji Bonde Dogo la Mto…

22 September 2024, 11:24 am

TAKUKURU: kumiliki mali zisizoelezeka ni kosa kisheria

kwa mujibu wa sheria ya TAKUKURU namba 11 ya mwaka 2007 marejeo mwaka 2022, kugushi nyaraka kwa lengo la kumdanganya muajiri, kumiliki mali zisizoelezeka, matumizi mabaya ya madaraka, kujifanya ofisa wa TAKUKURU ni miongoni mwa makosa yaliyotajwa katika vifungu vya…

17 September 2024, 1:20 pm

Kongamano la Ekaristi liwe somo kwa demokrasia nchini

Na Mwandishi wetu. Kengele ya wito wa kudumisha amani , umoja ,maelewano na mapatano imeshapigwa na Kanisa katoliki nchini. KAZI kubwa iliobaki ni ya viongozi wa vyama vya siasa kutimiza wajibu ili kuliweka pamoja Taifa katika ramani yake ya asili.…

19 August 2024, 6:02 pm

Waislam watakiwa kutoa kipaumbele uhifadhi Quran kwa watoto

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Alhaj Ayoub Mohd Mahmoud (aliyevaa kanzu nyeupe) akiwa na Wajumbe wa kamati  Kuu ya Jumuiya ya kuhifadhisha Qurani Zanzibar. Na Mary Julius Jumla ya wanafunzi 26 kutoka vyuo mbalimbali vya Wilaya ya  Kusini kiwemo Jambiani, Bwejuu, Paje,…