Mpanda FM
Mpanda FM
27/09/2025, 22:10
Na Ivan Mapunda. Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Mfenesini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Asha Juma Kombo, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa mbunge, atahakikisha anakuza vipaji vya watoto na vijana kupitia ujenzi wa Sports Academy maalum…
24/09/2025, 22:36
Na Mary Julius. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha UPDP, Hamad Mohammed Ibrahim, amesema endapo chama chake kitachaguliwa na kuingia madarakani kitadumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Akizungumza katika mkutano wa kampeni za chama hicho uliofanyika katika…
20/09/2025, 15:03
Na Is-haka Mohammed. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA Khamis Faki Mgau amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar atapandisha mishahara ya waalimu ambapo walimu wa ngazi ya cheti ataanza kupokea kima cha mshahara wa shilingi milioni moja…
16 September 2025, 3:31 pm
“Mgombea udiwani Kata ya Nsemulwa na kata ya Shanwe wamemuombea kura mgombea udiwani wa kata hiyo ya kazima“ Na Anna Milanzi-Katavi Chama cha ACT wazalendo kimeendelea na kampeni zake katika maeneo mbalimbali mkoani Katavi na kunadi sera zao kwa wananchi.…
15/09/2025, 21:50
Na Mary Julius, Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama hicho Juma Ali Khatibu amesema dhamira ya chama chake ni kuendelea kuiunga mkono serikali iliyopo madarakani kutokana na kazi nzuri inayofanywa katika kuwaletea…
14/09/2025, 23:18
Na Mary Julius. Mgombea urais Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha the United People’s Democratic Party UPDP, Hamad Mohammed Ibrahim, ameahidi kuwa endapo itapata ridhaa na kuingia madarakani seriakali yake itajenga viwanda vya kusarifu karafuu na mazao mengine ili kuleta…
September 10, 2025, 6:17 am
Na Denis sinkonde na Anord Kimbulu Jumla ya watahiniwa 2641 wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wilayani Ileje Mkoani Songwe utakaofanyika Septemba 10 na 11 mwaka huu. Akizungumza na Ileje Fm juu ya maandalizi ya mitihani hiyo Mkurugenzi…
8 September 2025, 7:53 pm
Baadhi ya wachangia mada wa kata ya Mpanda Hotel. Picha na Anna Mhina “Tutamtia moyo na kumheshimu kwani amethubutu” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wananchi wa kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameeleza wajibu…
03/09/2025, 13:49
Na Mary Julius. Mgombea wa uwakilishi jimbo la Tunguu, kupitia Chama Cha Mapinduzi Simai Mohammed Said, ameahidi kufanya Kampeni za kistaarabu kama ilivyoagizwa na viongozi wakuu wa chama chake. Simai ameyasema hayo leo mara baada ya kuchukua fomu katika ofisi…
27/08/2025, 16:17
Na Is-haka Mohammed. Wananchi wa jimbo la Micheweni Wilaya ya Micheweni Pemba wameombwa kukiunga mkono chama cha CHAUMA na Wagombea wake ambao kitawasimamisha kupitia nafasi mbali mbali za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Ombi hilo limetolewa na Makamo Mwenyekiti…