Mpanda FM

SIASA

8 October 2024, 12:11 pm

Serikali kuboresha miundombinu hifadhi ya taifa ya Ruaha

Na Joyce Buganda Serikali  imapanga kuboresha miudombinu katika hifadhi ya Taifa ya Ruaha  Mkoani Iringa ili kuongeza idadi ya watalii kufika bila kero huku wawekezaji wakishauriwa kwenda kuwekeza hifadhini hapo. Akizungumza katika kilele cha miaka 60 ya hifadhi ya taifa…

7 October 2024, 10:03 pm

Kagera yabuni mbinu kukomesha ukatili kwa wazee

Baadhi ya zawadi zilizotolewa kwa wazee na Umoja wa amani kwanza. Picha na Theophilida Felician Wazee ni tunu muhimu katika Jamii; wanapaswa kupokelewa, kuheshimiwa; wanateseka katika ukiwa, wanapotengwa na kuelemewa na upweke. Na Theophilida Felician Umoja wa amani kwanza mkoani…

4 October 2024, 3:51 pm

Viongozi wa dini wazuru hifadhi ya Taifa Ruaha

Na Adelphina Kutika Viongozi wa dini kutoka Mkoa wa Iringa wamejizatiti kushirikiana na Hifadhi ya Taifa ya Ruaha katika kutoa elimu kuhusu uhifadhi wa vyanzo vya maji na ulinzi wa mazingira. Haya yanajiri kufuatia  ziara ya viongozi October  3  2024…

25 September 2024, 6:31 pm

Vijana jitokezeni kugombea nafasi za uongozi CUF Zanzibar

Na Khalida Abdulrahman Chama cha Wananchi CUF kimewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika kugombea nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho. Akizungumza na Zenj FM Mkurugenzi wa Itifaki na Udhibiti wa Chama Cha Wananchi CUF Taifa Rajab Mbarouk Mohd akiwaa  makao…

18 September 2024, 8:16 pm

Rwamishenye wadai kuhujumiwa zawadi za ligi ya Byabato

Baadhi ya wananchi wa kata ya Rwamishenye manispaa ya Bukoba mkoani Kagera wameibuka na tuhuma dhidi ya diwani wa kata hiyo bw. Juma Sued Kagasheki wakimtuhumu kuhujumu zawadi walizostahili baada ya kuibuka na ushindi wa tatu katika mashindano ya ligi…