Mpanda FM

MAENDELEO

05/07/2025, 21:05

Vyama vya ushirika vyachangia ukuaji wa uchumi Zanzibar

Serikali ya Mapinuzi ya Zanzibar imejipanga kufanya mageuzi kwenye Sekta ya Ushirika ili kuhakikisha inavijenga Vyama vya Ushirika kuwa imara, endelevu na vyenye kutoa tija kwa Wanachama wake. Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imedhamiria kuendeleza juhudi…

3 July 2025, 19:38

Mume amuua mke kisa wivu wa mapenzi Mbeya

Kujichukulia sheria ni kosa la jina kwa mjibu wa sheria za nchi,na ndio maana wasimamizi wa sheria wamekuwa wakisisitiza wanapobaini uwepo wa waharifu kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Na Hobokela Lwinga Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Neema Jonas Mkazi…

03/07/2025, 11:24

Zanzibar kuadhimisha siku ya ushirika duniani Kizimkazi

Na Mary Julius. Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff, amesema maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Ushirika Duniani kwa mwaka huu yatafanyika kitaifa huko Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, siku ya Jumamosi, tarehe…

01/07/2025, 15:27

Zanzibar yawasha moto tena Afrika tuzo ya pili mfululizo WTA

Tuzo za World Travel Awards,hushirikisha makundi mbalimbali katika sekta ya utalii, ikiwa ni pamoja na hoteli, viwanja vya ndege, mashirika ya ndege, vivutio vya kitalii, waandaaji wa matukio na tamasha, na huduma nyingine zinazohusiana na usafiri na ukarimu. Na Mary…

30 June 2025, 6:52 pm

TMDA yawapiga msasa wakaguzi wa dawa na vifaa tiba Simiyu

“Twendeni tukatende haki kwa kuzingatia miiko ya taaluma zetu pale ambapo tunatekeleza majukumu ya ubora wa bidhaa ambazo zipo sokoni bila kukandamiza wafanyabiashara wanaolalamikia utendaji kazi wakati wa ukaguzi”. Na, Daniel Manyanga  Wafamasia, wataalam wa maabara na maafisa mifugo katika…

24 June 2025, 12:05

Uzalishaji wa maziwa kwa wafugaji bado hafifu Kigoma

Wananchi wametakiwa kuzingatia unywaji wa maziwa safi na salama kwa ajili ya afya yao. Na Orida Sayon Ukosefu wa elimu kuhusu afya ya mifugo imetajwa kuwa changamoto ya uzalishaji wa mazao ya maziwa katika halimashauri za wilaya za Kigoma, Buhigwe,…

14 June 2025, 10:08

Wanaouza vyandarua nje ya nchi kuchukuliwa hatua

Serikali imesisitiza wananchi kutumia vyandarua kwa matumizi yaliyokusudiwa ili waweze kujikinga na ugonjwa wa Malaria Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Kanali Isaac Mwakisu, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama wilayani humo kuhakikisha vinafuatilia na kubaini wananchi wanaouza…