Mpanda FM

ELIMU

10 October 2024, 5:11 pm

Zaidi ya wananchi 350 Manyara wapatiwa huduma ya macho

Mganga mfawidhi wa hospital ya halmashauri ya mji wa Babati(Mrara) Dr Gillian Francis  Lupembe amesema Idadi ya wagonjwa waliokwenda kupata huduma ya matibabu ya macho  imekuwa kubwa kutokana na  watu wengi wanachangamoto  ya uoni. Na Marino Kawishe Zaidi ya wananchi…

5 October 2024, 08:34 am

Waziri wa Ulinzi kukagua miradi ya maendeleo Mtwara DC

Waziri wa ulinzi ataanza ziara Oktoba 6, 2024 katika halmashauri ya wilaya ya Mtwara ambapo ataanza na ukaguzi wa vyumbo vya madarasa vilivyopo katika shule ya sekondari Mustafa Sabodo na kumalizia uwekaji wa jiwe la msingi nyumba ya Watumishi wa…

29 September 2024, 8:36 am

Wazazi, walezi Katavi watakiwa kuwafundisha maadili mema watoto

“Walimu pamoja na wazazi wanatakiwa kuweka ulinzi mkubwa kwa Watoto ili kujenga taifa moja litakalokuwa na kizazi chenye maadili mema.” Na John Mwasomola -Katavi Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kuwalinda watoto na kuwafundisha maadili yanayofaa ili kuwaepusha na vishawishi…

26 September 2024, 7:51 pm

Wananchi Mpwapwa wafurahia huduma za madaktari bingwa

Wananchi wilayani Mpwapwa wanafurahia kupata huduma za madaktari bingwa waliokita kambi wilayani humo ili kuwahudumia wananchi kwa ukaribu zaidi. Uwepo wa madaktari hao umesaidia wananchi wasio na uwezo kupata huduma za madaktari bingwa pia kuepuka gharama za safari endapo wangepata…

24 September 2024, 11:15 am

Madaktari bingwa 45 wawasili Manyara

Mkuu wa wilaya ya Babati Emmanuela Kagandaamewataka wananchi mkoani Manyara kutumia fursa za matibabu zinazotolewa na madaktari bingwa bobezi 45 pamoja na wataalamu  wa afya 27 kutoka wizara ya afya  kwa muda wa siku sita. Na George Augustino Wananchi mkoani…

21 September 2024, 10:51 am

Wananchi Manyara wahimizwa kufanya usafi

Halmashauri ya mji wa Babati kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamefanya usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Babati ili kuedelea kutunza usafi wa mazingira na kuepukana na magonjwa ya mlipuko. Na Mzidalfa Zaid Dunia ikiwa  imeadhimisha siku ya usafi…

20 September 2024, 9:29 pm

Siku ya usafi duniani Kilosa yafanya usafi sokoni

Siku ya usafishaji Duniani huadhimishwa kila ifikapo 20 Septemba ya kila mwaka huku maadhimisho ya mwaka huu yamebebwa na kaulimbiu isemayo, “Uhai hauna mbadala, tuzingatie usafi wa mazingira”. Na Asha Madohola Wananchi wametakiwa kujenga utamaduni wa kusafisha mazingira yao mara…