

10 May 2025, 1:54 pm
Suala la michango kwa ajili ya shughuli za maendeleo katika kijiji limewatibua baadhi ya wananchi nakukimbilia CCM kuomba utatuzi. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa Kijiji Cha Kalebezo Kata ya Nyamirembe wilayani Chato Mkoani Geita wamekiomba Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa…
8 May 2025, 5:51 pm
Na Mzidalifa Zaid Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Maryam Ahmed Muhaji ameitaka jamii kuunganisha nguvu za pamoja katika kusaidia wasichana shuleni ili kupata taulo za kike katika kustawisha hedhi salama na kufanya vizuri katika masomo yao. Muhaji ameyasema wilayani Babati…
1 May 2025, 1:52 pm
Picha ya wakuu wa shule za msingi Katavi. Picha na Samwel Mbugi. “Jiwekeeni malengo ili mpandishe ufaulu” Na Samwel Mbugi Walimu wakuu wa shule za msingi mkoa wa Katavi wametakiwa kusimamia msingi wa utawala bora na uwajibikaji katika kazi ili…
April 30, 2025, 5:47 pm
Shirika la soil for the feature linalojishughulisha na biashara ya hewa ukaa limewasafirisha baadhi ya wananchi na viongozi wa vijiji na kata katika Wilaya za Monduli na Longido hadi Kajiado nchini Kenya ili kupatiwa elimu ya namna ya biashara hiyo…
April 30, 2025, 1:34 pm
‘‘Naomba mahakama itoe adhabu kali kwa mshitakiwa ili iwefundisho kwa jamii kuacha tabia ya ukatili dhidi ya watoto’’. Aristariko Msongelo mwendesha mashitaka wa Jamhuri Wilaya ya Bunda. Na Adolf Mwolo Mahakama wilayani Bunda imemhukumu kifungo cha miezi 6 cha nje…
30 April 2025, 10:33 am
Picha ya mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Asina Omari. Picha na John Benjamin “Tekelezeni zoezi hilo kwa umakini” Na John Benjamin Maafisa uchaguzi ngazi ya kata wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia…
April 29, 2025, 12:56 pm
“Tanzania imeweza kusimamia Muungano kwa sababu waasisi wa hawakuwa na maslahi binafsi bali walikuwa na mapenzi mema na nchi“ Na Kudrat Massaga Wananchi Mkoani Manyara wametakiwa kuwashukuru viongozi wote waliopita na waliopo sasa madarakani kwa kuendelea kuenzi na kudumisha Muungano…
April 29, 2025, 12:22 pm
”Tumepokea maelezo kutoka kwa Mkurugenzi mkuu wa NIDA, James Kaji, kufikia mei mosi 2025 kuwa wananchi wote waliotumiwa ujumbe mfupi wa sms kujulishwa upatikanaji wa vitambulisho vyao lakini hawajajitokeza kuchukua vitasitishwa” Hilkia Nyamongo,kaimu Afisa usajili NIDA Wilaya ya Bunda. Na…
April 24, 2025, 10:21 am
”nawahakikishia wanachi wilayani Bunda kuwa bei za bidhaa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka hazitopanda” Khalid Ally mwenyekiti soko kuu Bunda Na Amos Marwa
April 24, 2025, 9:06 am
Waendesha bodaboda wanatajwa kuvujisha siri za wateja wao Na Mkaisa Mrisho MBOZI Baadhi ya watumiaji wa vyombo vya usafiri maarufu kama Bodaboda wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wamelalamikia baadhi ya waendesha vyombo hiyo kuvujisha siri za wateja wao kwa watu…