Mpanda FM

AFYA

17 September 2025, 2:09 pm

Miaka 25 ya GGML, kushiriki maonesho ya 8 ya madini Geita

Kila mwaka mkoa wa Geita umekuwa ukifanya maonesho ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini, ikiwa ni fursa adhimu ya kukutanisha wafanyabiashara na wachimbaji wa madini kutoka maeneo mbalimbali. Na: Ester Mabula Geita Gold Mining Limited (GGML), kampuni tanzu…

2 September 2025, 12:47 pm

Bajaji 32 zatolewa kuwainua kiuchumi Vijana

Na Godfrey Mengele Taasisi binafsi Mkoa Iringa zimepatakiwa kuisaidia jamii kujikwamua kiuchumi kwa kuwafikishia huduma mbalimbali. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Kheri James wakati wa hafla ya kukabidhi bajaji 32 zenye thamani ya shilingi milion 315 zilizotolewa…

September 1, 2025, 3:54 pm

Wananchi Osunyai walia na taka kutupwa kwenye mto Burka

Wananchi waishio katika mtaa wa Kiriki A, kata ya Olsunyai, mtaa wa JR, jijini Arusha, wameiomba serikali na mamlaka husika kuchukua hatua za haraka kudhibiti utupaji wa taka hovyo kwenye mto Burka, wakieleza kuwa hali hiyo ni hatarishi kwa afya…

31 August 2025, 7:26 am

Bunda: Mamba amshambulia mhudumu wa afya, amjeruhi

Amenusurika kuliwa na mamba wakati akiwa katika shughuli za uvuvi wa samaki. Na Edward Lucas. Aloyce Komanya (32), mkazi wa mtaa wa Bushigwamala, kata ya Guta katika Halmashauri ya Mji wa Bunda, mkoani Mara, amenusurika kuliwa na mamba wakati akiwa…

13 August 2025, 4:29 pm

Wanahabari waaswa kuelimisha jamii umuhimu wa chanjo

Na Mary Julius. Waandishi wa habari wametakiwa kushirikiana kwa karibu na wizara ya Afya Zanzibar kitengo cha chanjo ili kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo, kwa lengo la kupunguza upotoshaji na dhana potofu zinazohusu chanjo.Afisa kutoka Kitengo cha Chanjo Zanzibar,…

5 August 2025, 12:00 pm

Karibu kusikiliza kipindi maalumu na TCRA kanda ya ziwa

Mamlaka ya mawasiliano Nchini Tanzania (TCRA) Kanda ya ziwa imewataka watanzania kuwa makini na taarifa za kimtandao hasa taarifa za uongo. Na.Peter Marlesa Ungana na Peter Marlesa akiwa na  Belenadetha Mathayo Afsa kutoka TCRA kanda ya Ziwa, akifafanua kwa Watanzania…

2 August 2025, 7:25 am

Vijana Iringa wahimizwa kuwekeza katika kilimo

Sekta ya kilimo imetajwa kuwa sekta muhimu jambo linalopelekea vijana kutakiwa kuwekeza huko. Na Godfrey Mengele Vijana Mkoani Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wamehimizwa kuwekeza nguvu katika kilimo ili kujikwamua kiumchumi na kufikia malengo yao. Wito huo umetolewa na Mkuu…