Mpanda FM

AFYA

20 December 2024, 12:50 am

Akutwa amefariki akiwa ndani kwake

Kufuatia kifo cha mwanamke aliyekutwa amefariki akiwa ndani kwake ndugu wa marehemu wasema ndugu yao hakuwa anaumwa zaidi alikuwa anasumbuliwa na kifua ambacho kilikuwa kinambana mara chache Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Anna Sanka mwenye umri wa miaka  47…

19 December 2024, 4:16 pm

Mtaro wa Sebleni hatari kwa watoto

Na Mwajuma Said Yussuf na Halsa Abdallah Juma Wananchi wa shehia ya sebleni wilaya ya mjini wameliomba baraza la manispaa kuufunika na kuungeza kina mtaro sebeleni ili kulinda maisha ya watoto pamoja na afya za wakaazi wa eneo hilo. Wakizungmza…

8 December 2024, 4:59 pm

Dk Mwinyi ahimiza jamii kufanya mazoezi Zanzibar

Na Mary Julius. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea  kuchukua juhudi  maalum  kuhakikisha inapunguza kasi ya ongezeko la Maradhi yasiombukiza nchini. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo alipozungumza  baada ya Kuongoza…

8 November 2024, 3:58 pm

Katavi:Vijana wahimizwa kupima afya mara kwa mara

picha na mtandao ” vijana wa kiume hawajitokezi katika suala la upimaji afya zao ikilinganishwa na vijana wa kike.” Na Rhoda Elias -Katavi Vijana  manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuwa na desturi ya kujitokeza ili kupima afya zao mara…

5 November 2024, 11:15 am

DC Linda azindua Taasisi ya TK Movement

Na Fredrick Siwale Vijana Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa Wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi na Maendeleo katika Sekta ya Kilimo kufuatia serikali kutoa zaidi ya Milioni 500 katika sekta hiyo. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa…

31 October 2024, 10:54 am

Vijana Iringa kujiinua kiuchumi kupitia mikopo ya Halmashauri

Na Shaffih Kiduka, Halima Abdalla, Zahara Said na Shahanazi Subeti Siku chache baada ya Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kutangaza utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu, baadhi ya wananchi Manispaa ya iringa wamesema…

22 October 2024, 5:21 pm

Saratani ya shingo ya kizazi tishio Zanzibar

Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma amesifu jitihada za Serikali ya watu China katika kuisaidia Zanzibar kwa nyanja tofauti ikiwemo sekta ya Afya hasa katika masuala mazima ya kupambana na maradhi ya saratani. Kauli hiyo ameitoa…