Mpanda FM

AFYA

16 December 2025, 9:29 pm

Masheha Zanzibar wapewa jukumu la kusukuma usajili wa ZHSF

Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF), Khalifa Hilal Muumin, amewataka Masheha kote Zanzibar kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi katika shehia zao kuhusu Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF),…

8 December 2025, 9:00 pm

Wanacama wajengewa uwezo wa kilimo bora

“Kilimo hicho kitasaidia kuandaa mashamba bora kutokana na hali ya hewa kwa wakati huo” Na Adelphina Kutika Wasichana wanaofadhiliwa na Shirika la Camfed (WANACAMA) wanaojihusisha na kilimo biashara mkoani Iringa wamejengewa uwezo wa kulima kilimo kutokana na mabadiliko ya tabia…

1 December 2025, 7:20 pm

SMZ kuongeza bajeti ya afya kwa wanaoishi na VVU

Na Mary Julius. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itahakikisha  inaongeza Bajeti katika kusimamia utoaji wa huduma za afya kwa watu wanao ishi na virusi vya ukimwi ili kuimarisha upatikanaji wa huduma hizo kwa uhakika hayo yamebainishwa na Makamu wa…

24 November 2025, 1:26 pm

Habari za uongo,kikwazo kwa biashara Kilosa

Habari za uongo zimekuwa kikwazo kikubwa katika maendeleo ya biashara, hasa katika jamii zinazotegemea taarifa sahihi kufanya maamuzi ya ununuzi na uuzaji. Na Aloycia Mhina Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wilaya ya Kilosa, Ndugu Joshua Chaluza Mbarikiwa, ametoa wito kwa wafanyabiashara na…

18 November 2025, 2:02 pm

TWCC yaombwa kukuza mitaji ya wajasiriamali

“Wajasiriamali wanapaswa kuunganishwa na taasisi za kifedha kwa lengo la kuwainua kichumi” Na Adelphina Kutika Wataalamu waliofadhiliwa na shirika la Campaign for Female Education (CAMFED) nchini Tanzania wameiomba Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC) kuwasaidia kuwaunganisha na taasisi za kifedha,…

14 November 2025, 8:33 pm

SMZ yaahidi kuimarisha huduma kwa wagonjwa wa kisukari

Na Mwandishi wetu SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha ustawi wa watu wanaoishi na changamoto za ugonjwa wa kisukari unaimarika. Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya, Dk. Salim Slim, amesema hayo wakati akifungua kongamano…

15 October 2025, 1:17 pm

Ushirikishwaji wa jamii kukuza uchumi

Na Ayoub Sanga Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuanzisha na kuimarisha maeneo ya kimkakati ya kiuchumi, kwa lengo la kuongeza tija na ushirikishwaji wa wananchi katika shughuli za maendeleo ya taifa. Katika kongamano la…

October 12, 2025, 9:48 am

Bonanza: Watumishi Nyasa, uchaguzi

Kujiandaa na kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura kwani hiyo ndio njia pekee ya kupata kiongozi bora na atakayefaa katika jamii. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Nyasa, Ndg Khalid Khalifa ameandaa Bonanza maalumu la watumishi Wilayani humo likilenga kuboresha Afya…

7 October 2025, 5:16 pm

Maisha Meds, Wizara ya Afya waungana huduma za macho Zanzibar

Na Mary Julius. Katika kuadhimisha Siku ya Uoni Hafifu Duniani, Wizara ya Afya Zanzibar kwa kushirikiana na Maisha MedsnaPondeza Foundation wameandaa zoezi maalumu la upimaji wa macho litakalofanyika katika Jimbo la Chumbuni na Jimbo la Mtoni. Zoezi hilo la siku…