Mazingira FM

Uncategorized

9 February 2022, 9:58 am

Serikali kuwalinda mangariba walioacha kukeketa

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewapongeza Ngariba waliokuwa wanajihusisha na vitendo vya ukeketaji baada ya kuacha kufanya vitendo hivyo na kisha kugeuka kuwa wanaharakati wa kukemea vitendo vinavyo dhalilisha utu wa mtoto…

3 February 2022, 9:40 am

Watanzania watakiwa kuwaamini wataalamu wa ndani

Wito umetolewa kwa wananchi kuendelea kuwaamini wataalamu wazawa wanaotekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao na kuacha kuwabeza Hayo yamesemwa na mkurugezi wa kampuni ya AUDECIA InvestimentĀ  Eng Kambarage Wasira anayetekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Guta –…

3 February 2022, 8:17 am

Tembo waua tena wawili na kujeruhi mmoja Bunda

Watu wawili wamepoteza maisha na mwingine mmoja kujeruhiwa baada ya kushambuliwa na tembo wakati wakijaribu kuwafukuza tembo waliokuwa wamevamia makazi ya watu katika mtaa wa Bushigwamala kata ya Guta, Wilaya ya Bunda mkoani Mara. Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa mtaa…