Joy FM

miundombinu

9 April 2025, 11:34

Maafisa usafirishaji majini watakiwa kuwa na leseni

Shughuli za usafirishaji kwa njia za maji ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa taifa la Tanzania pia kwa mwnanchi mmoja mmoja hivyo weledi na ufanisi utafanikisha shughuli hiyo Na Sadick Kibwana Wadau wa usafirishaji wa majini Mkoa wa Kigoma…

5 April 2025, 7:18 am

CAMFED watoa mafunzo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

Na Adelphina Kutika Wasichana waliopokea msaada kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Campaign for Female Education (CAMFED) wameiomba Serikali kuhakikisha wakulima wote nchini wanapata mbolea ya ruzuku kwa wakati, ili kuwasaidia kuongeza uzalishaji wa mazao na kufikia malengo ya Serikali…

3 April 2025, 16:50

Serikali kukamilisha miradi Kigoma

Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuhakikisha inakamilisha miradi yote ya maendeleo ili kufikisha huduma karibu na wananchi na kuchochea uchumi wa Taifa. Na Tryphone Odace Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu-Kazi Maalum, George Mkuchika amesema kuwa serikali imedhamiria kutekeleza…

27 March 2025, 11:01

Wananchi waomba serikali isimamie mkandarasi wa miradi ya maji Buhigwe

Serikali imeendelea kuhakikisha upatikanaji wa maji unakuwa mkubwa kwa wananchi wilayani Buhigwe. Na Kadislaus Ezekiel Wananchi wa vijiji 8 vya Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, wameomba serikali kusimamia wakandarasi wanaojenga miradi ya maji ili kuharakisha upatikanaji wa huduma…

6 March 2025, 16:48

Milioni 900 kukarabati majengo ya hospitali ya Mji Kasulu

Serikali imeendelea kufanya ukarabati waa miundombinu ya majengo katika hospitali mbalimbali kwa lengo la kutoa huduma bora za afya kwa wananchi. Na Hagai Ruyagila Mradi wa ukarabati mkubwa wa hospitali ya halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wa majengo 15…