Joy FM

miundombinu

28 September 2024, 00:06

Watu 11 wafariki 20 wajeruhiwa ajali nyingine Mbeya

Wimbi la ajali limeendelea kuukumba mkoa wa Mbeya ambapo kwa mwezi wa tisa pekee zimetokea ajali tatu. Na Hobokela Lwinga Watu 11 wamefariki dunia baada ya gari lenye namba za usajili T.601 CFS Lori aina ya Mitsubishi Fuso walilokuwa wamepanda…

27 September 2024, 12:02 pm

NCAA yakutana na viongozi Ngorongoro

Ni katika hatua za kuendelea kuhakikisha kuwa kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya, viongozi wa serikali, siasa na viongozi wa kimila wanashirikiana na kuwa na mahusiano mazuri kwa lengo la uhifadhi endelevu pamoja na…

26 September 2024, 3:45 pm

Bodi ya Mkonge kuboresha maisha ya wajasirimali Pemba

Na Mary Julius Mratibu wa Mradi wa Mkonge na Bidhaa Zitokanazo na Mkonge Zanzibar Joseph Andrew Gasper amesema Bodi ya Mkonge Tanzania  ina malengo ya kushirikiana na wajasirimali wa kisiwani Pemba ili kuona wajasiriamali wananufaika na fursa zitokanazo na mkonge.…

25 September 2024, 4:22 pm

Bei ndogo ya mwani kilio kwa wakulima Pwani Mchangani

Na Mwanaisha Msuko. Wananchi wa Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini, wilaya ya Kaskazini A Unguja wameiomba serikali kuongeza bei ya mwani ili kuweza kumkomboa mkulima wa zao hilo. Wakizungumza na Zenji FM wakulima hao wamesema bei ndogo ya mwani inarudisha…

24 September 2024, 12:27

Namna ongezeko la watu linavyoathri  uchumi wa kaya

Serikali imesema halmashauri nchini hazina budi kutumia matokeo ya sensa ya mwaka 2022 kwa ajili ya kupanga maendeleo ya watu, familia na taifa kwa ujumla. Na Michael Mpunije – Kasulu Inaelezwa kuwepo kwa idadi kubwa ya watu kwenye kaya hupelekea…

19 September 2024, 4:49 pm

Wafanyabiashara Kwarara walia na ucheleweshwaji wa uzoaji wa taka

Na Khaira Ame Haji. Katika kuhakikisha Wafanyabiashara wa maduka ya Kwarara Wilaya ya Magharibi B wanafanya biashara katika hali ya usafi wameliomba Baraza la Manispaa Magharib b kuchukua taka kwa wakati. Wakizungumza na Zenj Fm wafanyabiashara hao  amesema pamoja na kutozwa…

19 September 2024, 11:33

Mwenge wa uhuru wazindua mradi wa maji wa bilioni 1.6 Kasulu

Wananchi katika hamashauri ya wilaya kasulu mkoani kigoma wametakiwa kushirikiana na serikali katika kulinda na kutunza vyanzo vya maji ikiwemo kuacha kufanya shughuli za kibinadamu karibu na vyanzo hivyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Kiongozi wa mbio za Mwenge wa…

16 September 2024, 10:56 am

FCS, NGOLAC waahidi kushirikiana kusaidia jamii

Katika kuhakikisha inaendelea kuboresha huduma za kijamii taasisi ya NGOLAC imeendelea kukutana na wadau mbalimbali ili kuimarisha utoaji wa huduma kwa jamii kwa kushirikiana na wadau hao. Na Saitoti Saringe Akizungumza Septemba 15/2024 katika ofisi za NGOLAC zilizopo ofisi za…

12 September 2024, 16:00

Miradi ya bilioni 6 kuzinduliwa na wenge wa uhuru Kasulu

Mkuu wa wilaya Kasulu Mkoani Kigoma amewataka wananchi kujitokeza kuupokea mwenge wa uhuru utakapowasili wilayano na kushuhudia miradi ya maendeleo ikizinduliwa na kuanza kutoa huduma kwa jamii. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mwenge wa uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa…