Joy FM

maendeleo

4 August 2025, 6:22 pm

Wasimamizi wasaidizi ngazi ya kata Bunda DC waapishwa

kiapo walichokiapa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi mbele ya Mhe hakimu wa mahakama ya Mwanzo Oscar Lyimo ni kujiondoa kuwa mfuasi wa chama chochote cha siasa na pili ni kiapo cha kutunza siri Na Adelinus Banenwa Jumla ya wasimamizi wasaidizi wa…

4 August 2025, 4:13 pm

Karakana nyingine yateketea kwa moto Geita

Matukio ya moto kuteketeza karakana yameendelea kuongezeka mkoani Geita huku sababu za matukio hayo zikiwa hazijulikani. Na Kale Chongela: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana umeteketeza karakana moja ya useremala katika mtaa wa Mkoani, Kata ya Kalangalala, Manispaa ya…

1 August 2025, 11:43

Viongozi wa dini watakiwa kuepuka ubaguzi Kigoma

Mkuu wa Mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amewaasa viongozi wa dini kuwa na mshikamano wa pamoja katika kuwahumia waumini na jamii kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Viongozi wa umoja wa makanisa ya Kipentekoste Mkoa wa Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa…

27 July 2025, 10:56 am

Pemba kuhifadhi mikoko kwa vizazi vya baadaye

Shehia ya Shidi iliyopo wilaya ya Mkoani Pemba imefanikiwa kurejesha uoto asili wa fukwe za bahari kwa kupanda miti aina ya mikoko 2,500. NA AMINA MASSOUD JABIR  Wanannchi wa shehia ya Shidi Wilaya ya Mkoani Pemba wametakiwa kujitathmini na kujilinda…

26 July 2025, 8:22 pm

Msimalize kesi za ukatili kienyeji

Jamii inatakiwa kubadilika na kuacha kumaliza kesi zaukatili majumbani na kuwaacha wahanga wakibaki na maumivu Na Adelinus Banenwa Jamii yashauriwa kuwa na mwamko wa kuripoti matukio ya ukatili wa kijinsia kwenye mamlaka zinazohusika na kuacha kumaliza kesi hizo kienyeji ili…

23 July 2025, 16:05

Wasafiri waombwa kutoa taarifa za uvinjifu wa amani

Wasafiri wametakiwa kutoa taarifa za uvunjifu wa amani wakati wakiwa safarini. Na Hagai Ruyagila Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani Wilayani Kasulu limetoa wito kwa wasafiri wote wanaotoka Wilaya hiyo kuelekea maeneo mengine kutoa taarifa mapema wanapobaini dalili zozote…