Joy FM
Joy FM
10 October 2025, 12:32
Serikali imesema kuwa itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo katika kutoa elimu na hamasa kwa wananchi ili waweze kushiriki katika mikakati ya kutokomeza vitendo vya ukatili kwenye jamii. Na Mwandishi wetu Wananchi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa tayari…
8 October 2025, 9:59 pm
jamii imetakiwa kujenga utaratibu wa kutoa taarifa kwenye vyombo ya kisheria kuhusu vitendo vya utatili MBEYA Na Lennox Mwamakula Vijana nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika suala la kupinga vitendo vya ukatili kwani wao ndiyo nguvu kazi ya Taifa…
30 September 2025, 6:59 pm
Watu watano wamenusurika kifo baada ya tembo kushambulia nyumba waliyokuwemo. Na Adelinus Banenwa Ni katika mtaa wa Tairo uliopo kata ya Guta halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara ambapo nyumba ya mzee Juma Sarya kushambuliwa na tembo ikiezua mabati…
29 September 2025, 12:28 AM
‘Kutoa ni moyo si utajiri’, huu ni msemo unaofahamika sana na ukiwa na lengo la kukumbusha namna kutoa sehemu za Mali zetu kwa wenye uhitaji, hivyo wa mama hawa wamefanya kwa sehemu yako. Katika kuendelea kuunga mkono jitihada za Taasisi…
26 September 2025, 7:00 pm
Kwa sasa shule hiyo ina jumla ya wanafunzi 1278 ambapo kati yao wavulana ni 616 na wasichana ni 662. Na Adelinus Banenwa Upungufu wa walimu wa sayansi na Sanaa, ukosefu umeme kwenye madarasa, ukosefu wa jiko, upungufu wa matundu ya…
26 September 2025, 6:55 pm
Jumla ya wanafunzi 291 kati ya wanafunzi 374 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2022. Na adelinus Banenwa Jumla ya wanafunzi 291 wamehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Migungani mwaka 2025. Kati ya idadi hiyo, wanafunzi wa kike ni…
26 September 2025, 17:30
Mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF umegawa mitungi ya gesi kwa mam lishe, baba lishe na wastaafu ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jududi za serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Na Tryphone Odace Mkuu wa…
25 September 2025, 9:40 am
Ilani ya mkoa ya mkoa wa Mara imegusia mambo yote muhimu ikiwemo, afya, maji na miundombinu mingine. Na Thomas Masalu Katibu wa NEC wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa, Ndg. Joshua Chacha Mirumbe, amewakumbusha wanachama wa Chama Cha Mapinduzi…
24 September 2025, 5:32 pm
Wananchi watakiwa kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni ya wagombea ili kusikiliza sera zao Na Adelinu Banenwa Wito umetolewa kwa wananchi kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni ya wagombea ili kusikiliza sera zao zitakazowawezesha kuchagua viongozi bora. Hayo yamesemwa leo tarehe 24…
18 September 2025, 15:30
Wananchi wa Kata ya Kagera Manispa ya Kigoma Ujiji, wameomba mgombea ubunge wa jimbola Kigoma mjini Zitto Kabwe kuwasiadia kutatua changamoto ya uwepo mikopo umiza. Na Mwandishi wetu Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto…