Joy FM

maendeleo

8 January 2025, 11:58 am

Ruangwa yaongoza matokeo kidato cha pili mkoa wa Lindi

Hali ya elimu wilaya ya Ruangwa inazidi kuimarika kulinganisha na mwaka 2023 kimkoa ilikua ya mwisho, kwa mwaka 2024 imekua ya kwanza kimkoa. Na Joshua Jeremiah Kati ya wilaya sita zinazopatikana mkoa wa Lindi wilaya ya Ruangwa imeshika nafasi ya…

6 January 2025, 16:05

Wazazi, walezi watakiwa kuwalinda watoto dhidi ya ukatili

Katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa watoto, jamii imetakiwa kuendelea kuwalinda na kuwakinga watoto na mazingira yanayoweza kuwaingiza kwenye kufanyiwa vitendo hivyo. Na Hagai Ruyagila -Kasulu Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili…

6 January 2025, 12:15

Wadau watakiwa kuwasaidia watoto wenye uhitaji

Katika kuhakikisha mtoto mlemavu kupata elimu na kutimiza ndoto zao wadau wa maendeleo na wazazi kuibua na kuwatoa nje watoto hao ili kupata haki ya elimu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu mkoani Kigoni wametakiwa kuwasaidia…

31 December 2024, 7:18 pm

Milioni 187.4 zatolewa kwa vikundi 34 Bunda DC

Kulipa mikopo kwa wakati na kubaki na mipango iliyopelekea kuomba mkopo kitasaidia vikundi vilivyokopa kupata manufaa na fedha za halmashauri. Na Adelinus Banenwa Kiasi cha shilingi milioni 187.4 zimetolewa na halmashauri ya wilaya ya Bunda kwa vikundi vya wanawake, vijana…

20 December 2024, 7:16 pm

Wajasiriamali Mpanda Hotel waomba eneo mbadala la biashara

“wameiomba serikali ya manispaa ya Mpanda kuwatafutia eneo mbadala la kufanyia biashara zao“ Na Betord Chove -Katavi Baadhi ya wajasiriamali wanaofanya biashara  kando kando ya barabara ya  Mpanda hotel Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kuwatafutia eneo mbadala mara…

20 December 2024, 1:39 pm

TRA yatoa zawadi kwa walipakodi kwa hiari Bunda

Miongo mwa Kampuni zilizopokea zawadi hizo za pongezi ni Kampuni ya Maboto microfanence. Na Adelinus Banenwa TRA yakabidhi zawadi za pongezi kwa wateja wake wanaolipa kodi kwa hiari mjini Bunda Alferd Mregi, Kamishina wa kodi za ndani TRA amewataka wale…

18 December 2024, 12:24 pm

Wezi waiba kwenye maduka zaidi ya 11 Bunda

“Wametoboa signboard wamekunywa soda maganda wametupa hapo chini walinzi walikuwa nje hawakujua kilichokuwa kikiendelea“. Na Adelinus Banenwa Ni katika hali isiyo ya kawaida  wezi waiba zaidi ya maduka 11 eneo la Genge la jioni mtaa wa Posta kata ya Bunda…

17 December 2024, 12:43

Wakristo watakiwa kuendelea kuwasaidia watu wenye uhitaji

Jamii na wadau mbalimbali wametakiwa Kanisa la FPCT Murusi Galilaya lililopo Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma limetoa msaada kwa watu wenye uhitaji ikiwemo chakula, nguo, Sabuni na Viatu vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tatu. Msaada huo umetolewa…