Joy FM
Joy FM
3 May 2025, 11:14 am
Ndege Makebe Karando (31) amuua kwa kumchoma visu aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni muhudumu wa afya katika zahanati ya marambeka Zawadi John Kazi (35) kisha na yeye kujinyonga. Na Adelinu Banenwa Vilio na sintofahamu vimeendelea kutawala kwa wakazi wa kijiji…
2 May 2025, 13:05
Mratibu wa shirikisho wa vyama vya wafanyakazi ameomba Serikali kufanyia marekebisho sheria ya utumishi wa umma ili kuondoa mkanganyiko. Na Hagai Ruyagila – Kakonko Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye,…
1 May 2025, 8:24 pm
Macho na masikio ya wakulima wengi wa zao hilo nchini yatakuwa katika hafla hiyo, kwani matamanio ya wengi ni kuona bei ambayo itatangazwa Na Adelinus Banenwa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB) inatarajia kutangaza bei elekezi ya ununuzi wa zao hilo…
1 May 2025, 4:32 pm
Katika utetezi wake mshitakiwa aliiomba mahakama imuachie huru kutokana na yeye kuwa ni mjane na ana watoto watano wanamtegemea. Na Adelinus Banenwa Mahakama ya wilaya ya Bunda imemuhukumu kifungo cha masharti (condition discharge) cha kutokutenda kosa lolote ndani ya miezi…
30 April 2025, 14:40
Zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura awamu ya pili linatarajia kuanza mei mosi. Na Emmanuel Kamangu Mawakala wa vyama vya siasa wametakiwa kufuata sheria na taratibu katika vituo vya uandikishaji wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la…
29 April 2025, 14:54
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na mashirik mbalimbali kwa ajili ya kuboresha huduma za elimu Mkoani Kigoma. Na Sadiki Kibwana Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Mohammed Chuachua amegawa vifaa vya sayansi kwa shule za sekondari Mkoa wa Kigoma vyenye…
April 29, 2025, 1:54 pm
Wakulima mbali mbali kutoka wilaya ya butiama mkoani mara wametoa maoni yao juu ya namna wanaweza kupata mavuno mengi kupitia mazao ya viazi mahindi na ulezi kulingana na ardhi ya butiama ilivyo. Na swaiba Oscar, Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti…
28 April 2025, 14:56
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuhakikisha tatizo la utapiamlo linaisha kwa watoto. Na Josephine Kiravu Watoto wenye umri chini miaka 5 wapatao 14 ambao wamegundulika kuwa na utapiamlo wamepatiwa dawa lishe ikiwemo maziwa na karanga vyenye thamani…
April 24, 2025, 11:40 pm
Baptist ameeleza faida za mtandao wa redio za kijamii zinavyonufaisha vituo vya redio na wafanyakazi wake. Na Sharifat Shinji Mwenyekiti wa Mtandao wa Redio za Kijamii Tanzania (TADIO) Ndg. Baptist John amewataka wanachama wa redio za kijamii nchini kuendelea kufanya…
24 April 2025, 12:33
Tume huru ya Taifa imeendelea kusimamia ugawanyaji wa majimbo yalikuwa yanaonekana makubwa na hivyo kugawanywa ili kuweza kusogeza huduma kwa wananchi Na Lucaa Hoha Wadau wa uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wamepitisha muhtasari kutoka tume huru…