Joy FM
Joy FM
May 21, 2025, 2:23 pm
Picha ya Afisa ufugaji wa nyuki Halmashauri ya wilaya ya Babati, Fabian Mandas Imeelezwa kuwa ufugaji wa nyuki ni muhimu katika mazingira yetu na kwa binadamu kwa ujumla kwani ni chanzo cha tiba pia. Na Kudrat Massaga Jamii imetakiwa kujifunza…
16 May 2025, 15:49
Wakulima wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na desturi ya kuweka akiba ya chakula ili kukabiliana na njaa. Na Hagai Ruyagila Mkuu wa wilaya ya kasulu kanali Isaac Mwakisu amewaagiza Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kutoa…
16 May 2025, 2:16 pm
Ni wajibu wa baraza la madiwani kujua miradi inayotekelezwa katika maeneo yao na kuisimamia ili kuhakikisha miradi hiyo inakamilika. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya Bunda Ndugu Salumu Mtelela ameitka halmashauri ya wilaya ya Bunda kukamilisha miradi inayoendelea kutekelezwa…
16 May 2025, 09:07
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa mazingira katika kukabiliana na uharibifu wa mazingira unaotokana na shughuli za kibinadamu katika Mkoa wa Kigoma. Na Tryphone Odace Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana…
15 May 2025, 15:52
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amepewa pongezi na kuchangiwa fedha kwa ajili kuchukua fomu ya kugombea Urais baada ya kazi yake iliyotukuka katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila Baraza la Madiwani…
9 May 2025, 16:54
Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa kuzingatia suala la lishe bora kwa watoto. Na Michael Mpunije Shirika la umoja wa mataifa la Chakula na Kilimo FAO limetoa wito kwa wanaume mkoani Kigoma kushirikiana na wenza wao katika kufanya maandalizi ya chakula ili…
9 May 2025, 12:54
Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wakulima wa pamba ili waweze kulima pamba kwa wingi. Na Hagai Ruyagila Wakulima wa zao la pamba wilayani Kasulu, mkoani Kigoma, wameiomba serikali kuongeza bei ya ununuzi wa zao hilo ili wakulima waweze…
9 May 2025, 10:45
“misingi inayoendelea kuwekwa na chama cha chadema ni misingi inayorudisha uhai wa chama hicho kwa asilimia kubwa” Na Mwandishi wetu Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema wilayani kasulu kupitia Kikao cha baraza la mashauriano ambacho kimeshirikisha viongozi mbali mbali wa…
8 May 2025, 8:25 pm
Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hili mwaka 2005 limesaidia wanawake wengi katika kuhakikisha wanazifikia ndoto zao Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Aswege Enock Kaminyoge amezielekeza halmashauri za wilaya ya Bunda kuandaa program maalumu kwa ajili ya kutoa…
8 May 2025, 7:33 pm
“tumeazimia kuongeza nguvu katika usajili wa wanachama wapya ambapo Mpango huu unalenga kuongeza idadi ya wanachama wa SMAUJATA na kuhakikisha kuwa vijana wengi zaidi wanajumuishwa katika shughuli za maendeleo ya kijamii na uhamasishaji wa haki na usawa” Na Mwandishi wetu…