Joy FM
Joy FM
21 June 2025, 5:36 pm
“Tuendelee kuwakumba wenye uhutaji katika kurudisha faraja kutokana na familia hizo kupitia kwenye changamoto kwa kipindi hicho na hii ni ibada kubwa sana kwa Mungu wetu kwa kutoa sadaka kwa wenye changamoto mbalimbali”. Na, Daniel Manyanga Jamii wilayani Maswa mkoani…
13 June 2025, 17:03
Serikali kuendelea kuboresha sera na sheria kuhusu watu wenye ualbino nchini. Na Kadislaus Ezekiel Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua mahususi kuboresha mifumo ya Kisera na sheria katika kuboresha huduma…
4 June 2025, 15:59
Rushwa ya ngono ndani ya vyombo vya habari, hujumuisha kubadilishana tendo la ngono na ajira, au tendo la ngono na uhakika wa usalama wa kazi na wakati mwingine upendeleo katika kuchapishwa kwa habari. Utafiti uliochapishwa mwaka 2022 na Shirika la…
4 June 2025, 15:32
Wanafunzi wenye ulemavu katika shule ya Kabanga mazoezi wapatiwa msaada wa bima za afya ili kuwasaidia kupata matibabu. Na Hagai Ruyagila Katika kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya afya nchini, Taasisi ya Usilie Tena yenye makao yake…
4 June 2025, 12:15
Watoto wenye mahitaji maalum wamepewa sare za shule wilayani Kasulu. Na Hagai Ruyagila Wadau wa maendeleo katika Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kujitokeza kuwasaidia wanafunzi wenye mahitaji maalumu, hususan wale wenye ulemavu wa viungo, ili kuwawezesha kutimiza ndoto…
2 June 2025, 15:32
Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia lishe kwa watoto wao ili waweze kuwa afya bora. Na Michael Mpunije Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP kupitia mradi wa Kigoma Joint Programme limekabidhi mashine…
June 1, 2025, 11:20 am
Kanisa la Last Church of Tanzania limeendesha zoezi la kugawa misaada ya bidhaa muhimu kwa wahitaji wilayani Mbozi, likisisitiza kuwa huduma hiyo itaendelea kila mwezi. Na Anyisile Fredy Askofu wa Kanisa la Last Church of Tanzania, David Sichone, amesema utoaji…
31 May 2025, 9:48 pm
Mara nyingi huduma hizi ninapatikana katika hospitali kubwa za kanda lakini leo tumefanikiwa kufanya upasuaji huu mkubwa hapa, ni upasuaji wa kwanza hapa Maweni. Na Abdunuru Shafii Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni Kigoma imetoa huduma ya upasuaji kwa mgonjwa…
28 May 2025, 9:21 pm
Wahenga walisema hasira hasara,na ndivyo ilivyotokea kwa Edwin Kileo baada ya kushindwa kuzizuia hasira zake na kuchoma nyumba aliyojenga huko ukweni. Na Elizabeth Mafie.Siha-Kilimanjaro Mahakama Wilayani Siha mkoaniĀ Kilimanjaro,imemuhukumu Edwin Kileo mkazi wa Kijijii cha Naibili (32)ambaye ni mwinjilisti wa…
28 May 2025, 12:18
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa ukisumbumbua katika mataifa mbalimbali kusini mwa jangwa la Sahara. Na Josephine Kiravu Zaidi ya vyandarau million 1.7 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi…