Joy FM

elimu

September 8, 2025, 1:01 pm

Dkt. Samia kutua Kasulu Septemba 13

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanal Isack Mwakisu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM atafanya kampeni katika Wilaya ya Kasulu Septemba 13 mwaka huu. Na; Sharifat Shinji Rais wa…

4 September 2025, 15:27

DC Kasulu ataka wananchi kushiriki kampeni za uchaguzi

Serikali imewataka wananchi Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma kushiriki katika uchaguzi na kuwapata viongozi wataoweza kuwasaidia kutatua changamoto zao Na Hagai Ruyagila Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amewataka wananachi wa Wilaya hiyo kushiriki…

3 September 2025, 2:08 pm

DC Ruangwa azindua chanjo, utambuzi wa mifugo

Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Mhe. Hassan Ngoma, leo Septemba 2, 2025, amezindua rasmi zoezi la uchanjaji na utambuzi wa mifugo katika Kijiji cha Nangumbu, Kata ya Malolo wilayani Ruangwa, zoezi hilo ni hatua muhimu ya kulinda afya ya mifugo…

27 August 2025, 13:56

Kasi watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yaongezeka

Idadi ya watoto wa kike wanaosoma masomo ya sayansi imeendelea kuongezeka na hiii ni kutokana na jitihadi mbalimbali za Serikali na wadau wengine katika kuwahamasisha kupenda masomo ya sayansi Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imefanikiwa kutumia…

27 August 2025, 1:05 pm

Rais Samia apongezwa kwa matumizi ya Nishati

Matumizi ya nishati safi ya kupikia yanalenga kupunguza athari za kiafya, mazingira na kuboresha maisha ya wananchi, huku ukipunguza athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Adelphina Kutika Katika juhudi za kuhimiza matumizi ya nishati safi na kuboresha lishe katika jamii,…

25 August 2025, 16:37

Wamiliki shule waaswa kuendana na mabadiliko ya mtaala mpya

Mmiliki wa shule za Hekima zilizopo Mjini Kasulu Mkoani Kigoma Fedia Yaredi amesema ataendelea kusimamia shule hizo ili zieweze kutoa elimu bora kwa watoto Na Hagai Ruyagila Wamiliki wa shule binafsi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kukubaliana na mabadiliko ya…

25 August 2025, 14:08

Wahitimu darasa la saba waaswa kuwa na maadili mema

Wito umetolewa kwa shule binafsi kuanza kufuata mabadiliko ya mtaala mpya ambao umetolewa na serikali ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Na Sofia Cosmas Watumishi wa umma na sekta binasi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kuondoa utengano na chuki…

25 August 2025, 13:00

Maafisa elimu watakiwa kusimamia elimu ya MEMKWA

Serikali Mkoani Kigoma imesema itaendelea kuhamasisha wananchi kuhakikisha wanaweka mazingira wezeshi kwa ajili watoto hasa wa kike ili waweze kupata elimu. Na Hagai Ruyagila Maafisa elimu na Waalimu kutoka halmashauri mbalimbali za mkoa wa Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanazingatia na kutumia…