Joy FM
Joy FM
20 November 2025, 15:43
Serikali ya Mkoa wa Kigoma imesema inaendelea kuthamini mchango wa mashirika mbalimbali yanayounga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya elimu Na Lucas Hoha Shirika la Maendeleo la Ubelgiji ENABEL limekabidhi vifaa vya kidijitali vya kufundishia shuleni kwa Mkuu…
6 November 2025, 13:56
Serikali imeendelea kuwanoa waratibu wa Jumuiya za Kujifunza ili waweze kusiamamia maadili ya kazi Na Emmanuel Kamangu Waratibu wa Jumuiya za Kujifunza (JZK) katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wametakiwa kuacha tabia ya kutanguliza posho mbele hasa wanaposhiriki mafunzo badala…
10 October 2025, 21:35
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kubotesha miundombinu ya kujifunza na kufundishia ili kuhakikisha watoto wanapata elimu iliyo bora Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewahimiza wazazi Mkoani Kigoma kuhamasisha watoto kuyapenda…
10 October 2025, 11:45
Katika kuhakikisha walimu wanaendelea kuwa mahiri katika ufundishaji serikali imeendelea kuwapa ujuzi wa walimu ili kufahamu namna ya kutengeneza zana za kufundishia wanafunzi. Na Tryphone Odace Mafunzo ya uandaaji na utengenezaji wa zana za kufundishia na kujifunzia kwa Walimu mahiri…
6 October 2025, 10:03
Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuwaunga mkono watoto wao katika masomo wanayopenda kusoma na kuacha kuwalazimisha kusoma masomo ambayo hawayawezi Na Emmanuel Kamangu Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mikamba Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamewaomba…
30 September 2025, 3:18 pm
Waandishi wa habari na jamii kwa ujumla wanalo jukumu kubwa la kuhakikisha taarifa wanazopokea au kuzitumia, zinakuwa sahihi na zimethibitishwa ili kuepuka kuchochea taharuki, chuki au migawanyiko isiyo ya lazima. Na Asha Madohola Katika kipindi maalumu kilichorushwa na Redio Jamii…
22 September 2025, 11:37 pm
Septemba 22, 2025 Waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania mhe. Kassim Majaliwa amezindua rasmi maonesho ya 8 ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu manispaa ya Geita. Na: Ester Mabula…
22 September 2025, 14:03
Jumla ya miradi 7 ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 2 wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma imetembelewa,kuzinduliwa na mingine kuwekewa mawe ya msingi na kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa Ismail Ali Ussi. Na Emmanuel Kamangu…
17 September 2025, 15:06
Katika kuthamini mchango wa watumishi wa Umma, Serikali imeendelea kuimarisha mazingira ya kutolea huduma ikiwemo kujenga nyumba kwa ajili ya makazi ya watumishi ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao. Na Hagai Ruyagila Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru…
17 September 2025, 2:09 pm
Kila mwaka mkoa wa Geita umekuwa ukifanya maonesho ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini, ikiwa ni fursa adhimu ya kukutanisha wafanyabiashara na wachimbaji wa madini kutoka maeneo mbalimbali. Na: Ester Mabula Geita Gold Mining Limited (GGML), kampuni tanzu…