Joy FM

elimu

18 November 2024, 15:11

Prof. Ndalichako awataka wahitimu wa mafunzo stadi kufanya kazi

Serikali imesema itaendelea kuwasaidia vijana kupitia ujuzi mbalimbali ili kuhakikisha wanapatiwa mikopo itakayowasaidia kujiajiri. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi Veta wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu ya…

18 November 2024, 14:56

Madiwani walia na migogoro ya wakulima na wafugaji Kasulu

Madiwani wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili iweze kutambua mipaka ili kuwsaidia kupunguza migogoro ya ardhi katika ya wakulima na wafugaji. Na Emmanuel Kamangu Migogoro ya wafugaji na wakulima katika  wilaya ya uinza na wilaya ya kasulu yaongezeka ikichangiwa…

14 November 2024, 13:14

DC Uvinza awataka wagombea waliowekewa pingamizi kukata rufaa

Wakati muda uliowekwa kwa wagombea waliowekewa pingamizi ukikaribia kuisha, Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma ametaka wagombea kuwasilisha rufaa zao mapema kabla ya muda wa ziada kuisha. Na Sofia Cosmas – Uvinza Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Dina…

13 November 2024, 13:55

Serikali yaomba wananchi kushiriki miradi ya maendeleo

Mkuu wa wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Mohamed Chuachua akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa shule Gungu Mkuu wa wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Mohamed Chuachua amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika…

13 November 2024, 13:46

TAKUKURU yawataka wagombea kuepuka rushwa Kasulu

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU katika wilaya ya Kasulu imesema wagombea kutojihusisha na vitendo vya rushwa katika kipindi hiki cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Kutokana na umhimu wa uchaguzi wa serikali…

11 November 2024, 17:03

Zoezi uchukuaji, urejeshaji fomu za wagombea Buhigwe lakamilika

Halmshauri ya wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma imepokea jumla ya mapingamizi 25 kutoka vyama vya siasa vitakavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa wilayani humo. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma Bw, George Emmanuel…

11 November 2024, 14:02

Wahitimu wa mafunzo ya biblia waaswa kuhubiri matendo mema

Wahitimu wa mafunzo ya biblia katika chuo cha biblia Dar es salaam tawila Kigoma wametakiwa kuisaidia jamii kuachana na vitendo viovu ambavyo vimekuwa vikifanyika na kusababisha baadhi ya makundi mbalimbali kuathirika ikiwemo ukatilii na uvunjifu wa amani. Na Timotheo Leonard…

11 November 2024, 08:43

Mwanafunzi darasa la 6 Kigoma abuni ‘Earphone’

Wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana na kuendeleza bunifu mbalimbali za watoto ili waweze kufikia ndoto zao kwa manufaa ya jamii na Taifa kwa ujumla. Na Timotheo Leonard – Kigoma Novemba 10 ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya sayansi ambayo…