Joy FM

Afya

25 June 2024, 09:55

Tani 3.6 za bidhaa bandia zateketezwa na TBS Kigoma

Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara kubaini na kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na uingizaji wa bidhaa zisizokuwa na ubora kwa mamlaka husika ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria. Na Emmanuel Matinde -Kigoma Bidhaa mbalimbali zenye uzito wa…

19 June 2024, 10:30 am

Manispaa ya Iringa yapata hati safi ripoti ya CAG

Wakati Mikoa mingine ikiwa na hati yenye mashaka kuhusu ukaguzi kwa hesabu za serikali, Manispaa ya Iringa imezidi kufanya vizuri katika hesabu zake kwa mwaka uliopita. Na Adelphina Kutika Mkuu wa Mkoa wa Iringa  Mhe. Peter Serukamba amepongeza Halmashauri ya…

15 June 2024, 11:15 am

Wazazi Katavi waaswa kutowaozesha mabinti katika umri mdogo

“Wazazi wanachangia mimba za utotoni kwa watoto wao kutokana na kuruhusu watoto hao kuwa na mahusiano katika umri mdogo“ Na Lilian Vicent -Katavi Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ambayo hufanyika kila  tarehe 16 Juni kila mwaka, halmashauri…

12 June 2024, 10:26 am

The Iringa Festival yatajwa kuleta maendeleo

Wakazi wa Iringa wametakiwa kutumka maonyesho ya The Iringa Festival kama fursa ya kiuchumi kwenye eneo lao. Na Joyce Buganda Katika Kuhakikisha Iringa inaendelea kujitangaza kuwa ndio lango kuu la Utalii Kusini na shughuli nyinginezo, Mkoa Iringa unaanziasha Iringa Festival…

7 June 2024, 10:25 am

Shilingi milioni 90 kuboresha miundombinu Lupata

Ili kuhakikisha wanafunzi wanaendelea kupata elimu katika mazingira mazuri serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya elimu nchini. RUNGWE-MBEYA Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo  katika Halmashauri ya Wilaya…