Joy FM

Afya

25 June 2024, 09:55

Tani 3.6 za bidhaa bandia zateketezwa na TBS Kigoma

Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara kubaini na kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na uingizaji wa bidhaa zisizokuwa na ubora kwa mamlaka husika ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria. Na Emmanuel Matinde -Kigoma Bidhaa mbalimbali zenye uzito wa…

5 June 2024, 13:32

Wananchi watakiwa kuzingatia usafi wa mazingira

Serikali wilayani kasulu mkoani kigoma imesema haitawafumbia wananchi na taaisisi ambazo hazizingatii usafi wa mazingira ili kuhakikisha magonjwa ya mlipuko yanadhibitiwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Wametakiwa desturi ya kufanya usafi wa mazingira…

27 May 2024, 09:29

Zaidi ya watoto elfu 10 wadumaa Kibondo

Serikali wilayani kibondo mkoani kigoma imesema itaendelea kutumia siku ya afya na lishe ya kijiji kutoa elimu ya namna ya kuanda lishe bora kwa wananchi ili waweze kufahamu namna ya kukabiliana na lishe duni kwa watoto ambao wameonekana kuwa na…

23 May 2024, 09:22

Elimu ndogo ya lishe chanzo cha udumavu kwa watoto

Licha ya jitihada mbalimbali za wadau na serikali katika kutoa elimu ya lishe kwa jamii bado tatizo la lishe limekuwa pasua kichwa kwani bado watoto wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na ukosefu wa lishe ya kutosha. Na James Jovin – Kibondo…

6 May 2024, 08:53

RC Andengenye awataka vijana wa jkt kujiajiri

Vijana wa kujenga wanaohitimu mafunzo ya kijeshi katika kambi ya mtabila wametakuwa kuwa wazalendo kwa nchi na kutumia maarifa na ujuzi waliopata katika kujiajiri na kuacha kutegemea ajira. Na, Tryphone Odace – Kasulu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye…

3 May 2024, 12:06

Wahudumu wa afya acheni lugha chafu kwa wagonjwa

Mkuu wa wilaya Kigoma Mkoani kigoma amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua kali wahudumu wa afya wanaokiuka madili ya kazi zao kwa kutumia lugha chafu kwa wagonjwa ikiwmo kuwasimamisha kazi. Na Orida Sayon – Kigoma Wahudumu wa vituo vya Afya na…

25 April 2024, 16:05

DC Kasulu: Mnafanyia kazi mahali pachafu

Natamani kuona juhudi za serikali inazofanya kuboresha majengo ya vituo vya afya zinatumika pia kwenye kusimamia usafi ili wananchi wapate huduma mahali pasafi sio mgonjwa anakutana na uchafu hawezi hata kupona. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkuu wa Wilaya ya…

23 April 2024, 13:23

Dc kasulu awakalia kooni wahudumu wa afya

Wahudumu wa afya ngazi Wilayani kasulu wametakiwa kuzingatia maadili na taratibu za utoaji wa huduma bora kwa wananchi. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu kanali Isaac mwakisu amekemea lugha zisizo za staha zinazotolewa na baadhi ya…

23 April 2024, 13:19

FAO kuinusuru kigoma dhidi ya Magonjwa ya mlipuko

Serikali kwa kushirikiana na shirika la umoja wa mataifa la chakula na kilimo FAO, imeanza kuchukua hatua kukabilina na magonjwa ya mlipuko kwa mikoa inayopakana na nchi jirani, hasa magonjwa yatokanayo na wanyama, ili kulinda afya ya binadamu, mifugo na…