Jamii FM

Korosho

6 June 2025, 14:16 pm

TARI, CBT yatoa mafunzo ya viuatilifu kwa maafisa ugani

Haya ni mafunzo yanayotolewa kwa maafisa ugani yanayohusu matumizi sahihi na salama ya viuatilifu ili waweze kutoa elimu kwa wakulima wa zao la korosho lengo likiwa kufikia uzalisha mzuri wa zao hilo NA Musa Mtepa Zaidi ya maafisa ugani 500…

31 May 2025, 1:44 pm

Iringa yawakumbuka wajane

Mojawapo ya changamoto kubwa wanayokutana nayo wajane ni kukosa mtu wa karibu wa kusaidiana naye kwenye malezi ya watoto na changamoto zingine za kiuchumi. Na Zaitun Mustapha Mkoa wa Iringa unajiandaa kuadhimisha siku ya wajane kitaifa huku wananchi wakitakiwa kutowatenga…

29 May 2025, 9:00 am

Safari ya wanawake kuelekea uchaguzi mkuu

Makala hii inatazama ni upi ushiriki wa wanawake katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Katika kuondokana na changamoto ya wanawake kushiriki kwenye nafasi za uongozi katika uchaguzi, Nuru FM imeandaa makala yenye lengo la…

26 May 2025, 12:42 pm

 Chatu azuia ufyatuaji tofali kasimba

“Msikitini hapa pana shule ya watoto wadogo ni vema kuchukua tahadhari na kila mtu kuwa mlinzi wa mwenzie” Na Bertod Chove Baadhi ya wananchi wanaofanya shughuli za kilimo na ufyatuaji tofali katika moja ya bonde linalopatikana eneo la Kasimba Manispaa…

24 April 2025, 6:47 pm

Maambukizi ya malaria yashuka mkoani Kagera

Serikali kupitia idara ya afya mkoani Kagera imefanikiwa kupunguza kiwango cha maambukizi ya malaria licha ya baadhi ya wilaya kuwa na kiwango cha juu cha maambukizi Theophilida Felician. Kiwango cha maambukizi ya malaria kwa mkoa wa Kagera kimepungua kutoka 34.9%…

9 April 2025, 15:14 pm

Wakulima wa korosho wahamasishwa kilimo mseto

Huu ni msisitizo kwa wakulima kuhakikisha wanalima kilimo mchanganyiko kwenye zao la Korosho ili kusaidia kupunguza ghalama za upaliliaji pamoja na kuongeza virutubisho vinavyotokana na mazao yanayochanganywa kwenye mikorosho hiyo. Na Musa Mtepa Wakulima wa zao la korosho nchini wamehamasishwa…

7 April 2025, 00:00 am

Vyama vya ushirika vyakemea kauli za upotoshaji za wanasiasa

Tamko hili limekuja baada ya kuwepo kwa taarifa za baadhi ya wanasiasa kutumia majukwaa yao kuupotosha umma juu ya mifumo ya stakadhi ghalani unavyo wakandamiza wakulima wanapouza mazao yao Na Musa Mtepa Wenyeviti wa vyama vikuu vya ushirika vinavyosimamia mazao…