Dodoma FM

wanafunzi

10 December 2025, 15:24

JAI yakabidhiwa gari la wagonjwa Maweni Kigoma

Na Daniel Amando Jumuiya ya Watu Wenye Kuhuisha Tabia za Kiislam Tanzania JAI, Mkoa wa Kigoma, imepiga hatua muhimu katika kutoa huduma za kiutu kwa wagonjwa, baada ya kupatiwa msaada wa gari la wagonjwa kutoka kwa wadau wa huduma za…

4 December 2025, 14:17

DC Kigoma asisitiza wanafunzi kupata chakula shuleni

Chakula ni sehemu muhimu sana katika maisha ya mwanafunzi shuleni hasa walio katika umri wa ukuaji, wanahitaji virutubisho vya kutosha kama protini, vitamini, madini, na wanga ili miili yao ikue kwa afya lishe duni inaweza kusababisha kudumaa, udhaifu, na magonjwa…

17 November 2025, 13:20

Wananachi Kigoma waaswa kuzingatia lishe bora

Na Timotheo Leonard Wananachi Mkoani Kigoma wameaswa kuzingatia lishe bora ya  makundi sita ya vyakula ili kuimarisha afya zao kwa  kuongeza virutubishi mwilini vinavyoimarisha  mwili na akili. Kauli hiyo imetolewa na Afisa lishe Mkoa wa Kigoma James Mbalabo wakati akizungumza na…

26 October 2025, 09:28 am

Hospitali ya kanda yaibua furaha Mtwara

Wananchi wa Mtwara wameishukuru Serikali ya awamu ya Sita kwa kujenga Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, hatua iliyowapunguzia gharama na safari za kwenda Dar es Salaam kutafuta huduma za kibingwa, huku wakiiomba serikali kuendelea kuboresha huduma hizo kwa…

25 October 2025, 10:21

RC Sirro ahimiza wananchi kufanya usafi wa mazingira

Idara ya afya Mkoa wa Kigoma imesema inaendelea kuweka mikakati ya kuhamasisha wananchi kuzingatia suala la usafi wa mazingira ili kuepuka magonjwa ya mlipuko Na Tryphone Odace Mkuu wa Mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka wananchi kuhakikisha wanafanya usafi wa…

17 October 2025, 7:46 pm

Fountain Gate waanza na Mungu

Na Joel Headman Ndivyo unavyoweza kusema baada ya ushindi wa bao 1 la dakika za jioni walilolipata Fountain Gate dhidi ya Dodoma jiji jioni ya leo Mchezo huo wa ligi kuu uliopigwa kwenye dimba la Tanzanite Kwaraa umeshuhudia kandanda safi…