Dodoma FM
Dodoma FM
29 October 2024, 7:33 pm
Wafanyabiashara ambao ni wazalishaji wa bidhaa mkoani Manyara wametakiwa kuhakikisha wanakuwa na leseni ya TBS kabla ya kusambaza bidhaa hizo kwa watumiaji ili zihakikiwe ubora. Na Mzidalfa Zaid Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya kaskazini limewataka wananchi mkoani Manyara …
14 October 2024, 10:49 am
Oktoba 13, 2024 yamehitimishwa rasmi maonesho ya 7 ya teknolojia na uwekezaji katika sekta ya madini ambayo yalikuwa yakiendelea katika viwanja vya EPZA mjini Geita tangu Oktoba 02, 2024. Na: Ester Mabula – Geita Rais wa Jamhuri ya muungano wa…
13 October 2024, 12:01 pm
Mgodi wa dhahabu wa SOTA GOLD Mining uliopo kata ya Igalula wilayani Sengerema mkoani Mwanza unatarajiwa kuanza uzalishaji mwakani 2025, ambapo kwasasa wameaanza madalizi ya ujenzi wa Mgodi huo,ikiwemo kuwahamisha wananchi wenye maeneo yanayo pakana na eneo la mgodi huo.…
12 October 2024, 10:22 am
Wakazi wa Geita hatimaye wamefikiwa na kurahisishiwa kuagiza magari kwa usalama na uhakika zaidi kwa mpango wa kuwekeza, mkopo au kulipa moja kwa moja. Na: Ester Mabula – Geita Katika hafla iliyojaa furaha, kampuni maarufu ya uuzaji magari nchini Ezy…
7 October 2024, 10:10 am
Mgodi wa Geita Gold Minning Limited umekabidhi nyumba 6 na pikipiki 50 kwa Jeshi la polisi mkoani Geita ikiwa ni sehemu ya urejeshaji wa Jamii (CSR). Na: Evance Mlyakado – Geita Naibu waziri mkuu na waziri wa nishati Dkt. Doto…
30 September 2024, 5:59 pm
Mwenge wa uhuru umepokelewa katika mkoa wa Geita na kuanza mbio zake wilayani Chato kwa shughuli ya kukagua, kuzindua, kutembelea na kuweka mawe ya msingi katika miradi mbalimbali ya maendeleo. Na: Kale Chongela – Geita Mkuu wa mkoa wa Geita…
18 September 2024, 1:32 am
Pichani ni mufti mkuu akiwa na viongozi wa dini mkoa na viongozi wa GGML .Picha na Adelina ukugani Mufti na Sheikhe mkuu wa Tanzania amefanikiwa kutembelea mgodi wa GGML kwa mara ya kwanza uliopo mkoani Geita akiambatana na Viongozi mbalimbali…
9 September 2024, 9:09 pm
Geita Gold Mining Limited (GGML) imeendelea kusisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na Serikali pamoja na wadau wengine ili kuhakikisha Tanzania inapiga hatua. Na Gabriel Mushi: Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imesisitiza dhamira yake ya…
16 August 2024, 22:22
Katika kurahisisha upatikanaji wa huduma bora na karibu na wananchi hurahisishwa na ofisi zilizo karibu,katika mtaa wa Igodima jijini Mbeya kwao hali hiyo imekuwa tofauti na wananchi wa mitaa mingine. Na Hobokela Lwinga Baadhi ya wananchi mtaa wa Igodima Kata…
18 June 2024, 8:27 am
Na Adelina Ukugani: Karibu katika makala ya Tafakari Pevu, kipindi kinachokukutanisha wewe msikilizaji na kiongozi wako kujadili masuala mbalimbali yanayotatiza utekelezaji wa dhana ya utawala bora Mkoani Geita. Tafakari Pevu inatoa nafasi kwako kuibua changamoto katika eneo lako zinazokwamisha mikakati ya wananchi na viongozi kujiletea…