Dodoma FM
Dodoma FM
February 6, 2025, 10:46 pm
Mvua zinazoendelea kunyesha katika halmashauri ya Ushetu zimesababisha ukuta wa nyumba kupata unyevu na kusababisha kuanguka kutokana na nyumba hiyo kutokuwa imara. Na Leokadia Andrew Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari ya Chona Halmashauri ya Ushetu Wilayani…
February 6, 2025, 11:23 am
Mpaka sasa miili miwili kati ya mitatu ya wachimbaji wanaodhaniwa kufukiwa na kifusi ndani ya mgodi wa Nkandi uliopo eneo la mwime Wilayani Kahama imepatikana, huku mmoja ukiendelea kutafutwa na leo miili miwili imekabidhiwa kwa ndugu kwa ajili ya kusafirishwa…
31 January 2025, 11:56 am
Madiwani waishauri halmashauri ya Nyangh’wale kuongeza wigo wa ukusanyaji wa mapato kwa kubuni vyanzo vipya ambavyo haviwaumizi wananchi. Na Mrisho Sadick: Halmashauri ya wilaya ya Nyang’hwale Mkoani Geita imeendelea kufanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato kwa miaka mitano mfululizo hali…
28 January 2025, 6:39 am
Lengo la mkutano wake na wafanyabiashara ni kukaa na kujadili namna gani ya kushirikiana ili kusonga mbele kwa mwaka huu wa 2025. Na Edward Lucas Wafanyabiashara wilayani Bunda wajadili changamoto zao katika sekta ya mifugo, uvuvi , kilimo pamoja na…
January 18, 2025, 5:32 pm
wachungaji wa ng’ombe walikuwa wanachunga katika maeneo hayo ndipo ng’ombe walikimbilia eneo hilo na kuanza kufukua, wachungaji waliwapiga ng’ombe ili watoke ndipo walipogundua kwamba kuna kitu kimefukiwa na kwenda kutoa taarifa Na Sebastian Mnakaya Mwili wa Mwanamke Asha Mayenga anayekadiriwa…
10 January 2025, 5:12 pm
Wajasiriamali wanaofanya shughuli zao katika hifadhi ya eneo la barabara kuu mjini Babati mkoani Manyara wamesema serikali ingewashirikisha na kuwapa mda wa kutafuta maeneo mengine kabla ya kuwaondoa kwenye maeneo hayo. Na George Agustino Kufuatia zoezi la kuwaondosha wajasiriamali wanaofanya…
5 December 2024, 12:40 pm
GGML yasema bado iko bega kwa bega na wananchi kwa kushiriki katika shughuli mbalimba za maendeleo katika jamii bila kuchoka. Na Mrisho Sadick: Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) umewahakikishia wananchi wa mkoa wa Geta kuwa utaendelea kuwajibika ipasavyo…
25 November 2024, 23:57 pm
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa kampeni zinatarjia kuhitimisha kesho tarehe 26.11.2024 saa 12:00 jioni ikiwa tayari kwa ajili ya uchaguzi November 27, 2024 Na Musa Mtepa Wananchi wa Kijiji cha Ngorongoro, Kata ya Nanguruwe, Halmashauri…
20 November 2024, 12:41 pm
Vikundi 19 vya wajasiriamali wa halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara, vyakabidhi mkopo wa shilingi millioni 211 ikiwa ni lengo la serikali kuwakwamua wananchi kiuchumi. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa wilaya ya Babati Emanuela Kaganda, amekabidhi shilingi millioni 211…
18 November 2024, 6:16 pm
Katika jamii hususani mikoa ya kanda ya ziwa bado kuna changamoto ya watoto wenye ulemavu kuendelea kufichwa huku imani potofu ikitajwa kuwa sababu. Na Mrisho Sadick: Kanisa Katoliki Jimbo la Geita kwa kushirikiana na mgodi wa GGML limefanikiwa kuwaibua watoto…