Dodoma FM
Dodoma FM
15 April 2025, 1:42 pm
Madereva wa vyombo vya usafiri vya kibiashara mkoani Geita wamekutaka kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili ikiwemo ya usajili LATRA Na Mrisho Sadick: Kufuatia mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuwataka madereva wa vyombo vya moto vya kibiashara na watoa huduma kwenye…
14 April 2025, 1:30 pm
Kuanza kutolewa kwa mikopo ya asilimia 10 kumewaibua wananchi kudai kupatiwa elimu ya namna ya kuomba mikopo hiyo. Na Mrisho Sadick: Wananchi wilayani Nyangh’wale Mkoani Geita wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu ya mikopo ya asilimia 10 kwakuwa idadi kubwa ya…
10 April 2025, 7:35 pm
Miradi ya CSR (Corporate Social Responsibility) hufanywa na kampuni kama sehemu ya kuwajibika kijamii, kwaajili ya kusaidia jamii inayowazunguka au kulinda mazingira. Lengo kuu ni kuhakikisha kuwa kampuni haifanyi tu biashara kwa faida, bali pia inatoa mchango chanya kwa jamii.…
31 March 2025, 3:48 pm
Katika sikukuu hii ya Eid na Pasaka Rais Dkt Samia ameebdelea kuwakumbuka watoto wenye uhitaji ikiwemo yatima. Na Mrisho Sadick: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi zenye thamani ya zaidi ya milioni 13…
31 March 2025, 3:01 pm
Vijana wameamua kutumia fursa zilizopo kijiji kwao kupambana na changamoto ya ajira Na Edga Rwenduru – Geita Vijana Taasisi ya TK Movement wasiyokuwa na ajira katika kijiji cha Nyanguku Manispaa ya Geita mkoani Geita wameanzisha miradi ya ufugaji wa Mbuzi,kuku…
19 March 2025, 5:58 pm
‘Inabidi viongozi wa mtaa waweke wazi juu ya mapato ya asilimia 10 ili tuelewe inatumika katika maeneo gani’ – Mwananchi Na: Kale Chongela – Geita Baadhi ya wakazi wa kata ya Buhalahala katika halmashauri ya manispaa ya Geita wamewaomba viongozi…
19 March 2025, 4:00 pm
Leo Marchi 19, 2025 imetimia miaka minne ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambapo katika kipindi hicho miradi mbalimbali ya kimkakati imeanzishwa wilayani Geita. Na: Ester Mabula – Geita Wananchi wilayani na mkoani Geita…
March 4, 2025, 4:37 pm
Siku moja baada ya kuripotiwa kifo cha mwanamke mwenye ualbino Wande Mbiti mkazi wa kijiji cha Nhelegani kata ya Kizumbi Manispaa ya Shinyanga mkoani Shinyanga ambaye mwili wake umekutwa ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi huku mlango ukiwa umefungwa kwa nje,…
20 February 2025, 11:03 pm
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Cuthbert Sendiga, ameongoza hafla ya kilele cha siku ya mlipa kodi. Na Mzidalfa Zaid Mkuu wa mkoa wa manyara Queen Sendiga amewaonya baadhi wafanyabiashara ambao wamekuwa hawatoi risiti au kutoa risiti ambazo haziendani na…
17 February 2025, 5:41 pm
Serikali imeendelea kuimarisha na kuboresha huduma za wizara ya fedha ikiwemo kusogeza huduma hizo karibu na wananchi zaidi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wizara ya fedha imetoa onyo kwa watu na taasisi mbalimbali za fedha zinazotoa mikopo umiza kwa wananchi…