Dodoma FM

Ujenzi

29 July 2025, 10:45 pm

Tanzania yapaa kimataifa kwa uchumi

Na Joel Headman Arusha Nchi ya Tanzania inazidi kung’ara katika medani za kimataifa na kuifanya kushika nafasi za juu katika nchi ambazo uhusiano wake na China unazidi kuimarika. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa shirika la kiraia la Doublethink Lab…

June 21, 2025, 5:12 pm

Waendesha pikipiki Biharamulo watakiwa kufuata sheria

Waendesha pikipiki (maarufu bodaboda) wilayani Biharamulo mkoani Kagera wamesisitizwa juu ya kufuata sharia za usalama barabarani ikiwemo uvaaji wa kofia ngumu ili kulinda usalama wao na abilia na kuepukana na faini wawapo barabarani. Na.Anold Deogratias Waendesha pikipiki (maarufu bodaboda) wilayani…

13 June 2025, 8:22 pm

PM Majaliwa kufunga Lindi Mining Expo 2025

Na loveness josefu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (MB), anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika sherehe ya kufunga Maonesho ya Madini na Fursa za Uwekezaji Mkoa wa Lindi (Lindi Mining Expo 2025) Taarifa hiyo imethibitishwa leo 13Jun…

12 June 2025, 9:00 pm

SMZ yapinga ajira za utotoni

Picha ya waziri wa nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Sharif Ali Sharif. Picha na Vuai Juma “Ipo haja ya kuiunga mkono Serikali katika mapambano dhidi ya ajira za utotoni ili kuwapa watoto haki zao za kimsingi“ Na…

6 June 2025, 2:47 pm

Ukarabati wa barabara Mpanda waathiri miundombinu ya maji

Kaimu mkurugenzi MUWASA Rehema Nelson. Picha na Anna Mhina “Wakarabati mabomba mana tunapata tabu” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa halmashauri ya manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mpanda (MUWASA) kurekebisha…

5 June 2025, 6:31 pm

Lipeni bili kwa wakati kuepuka usumbufu

Kaimu mkurugenzi mtendaji MUWASA Rehema Nelson. Picha na Anna Mhina. “Tutasitisha huduma za maji kwa wateja wasiolipa kwa wakati” Na Leah Kamala Kaimu Mkurugenzi mtendaji mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira manispaa ya Mpanda mkoani Katavi Rehema Nelson…

4 June 2025, 9:47 am

EWURA yalegeza kamba uwekezaji vituo vya mafuta

Meneja wa EWURA mhandisi Walter Christopher . Picha na Leah Kamala “Sisi kama EWURA tumelegeza masharti ili wawekezaji wawekeze vituo vya mafuta vijijini” Na Leah Kamala Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya…