Dodoma FM
Dodoma FM
5 May 2025, 11:41 pm
Madhara mengi yanaweza kujitokeza endapo mama mjamzito atafika kwa kuchelewa hospitalini siku ya kujifungua. Na Theresia Damasi. Ikiwa ni siku ya Mkunga Duniani Kituo cha Afya uvinza wilayani uvinza kimewataka akina mama wajawazito kuhudhuria clinik mapema pale tu wanapogundua ni…
5 May 2025, 2:16 pm
Na Mary Julius. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Chillo, amewataka wasanii nchini kuhakikisha kazi zao za sanaa zinazingatia hulka, silka, na utamaduni wa Kitanzania, hususan wa Kizanzibari, pamoja na kuhimiza amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza katika…
22 April 2025, 7:24 pm
Na Mary Julius. Kituo cha Muziki cha DCMA (Dhow Countries Music Academy) kimesema kinashirikiana na msanii Trypon Evarist katika kuandika muziki wa zamani wa Zanzibar kwa lengo la kuuhifadhi na kuutunza, ili vizazi vijavyo viweze kuutumia katika hali yake halisi.…
5 April 2025, 18:24 pm
Na Musa Mtepa Wakuu wa wilaya na wataalamu ngazi zote wametakiwa kukagua nyaraka mbalimbali zinazotakiwa kuwepo kwenye miradi itakayopitiwa wakati wa mbio za mwenge mkoani mtwara kutekelezwa kwa ubora ili kuepuka ubadhirifu unaoweza kujitokeza. “Navielekeza vyombo vinavyotakiwa kuchukua hatua watakapo…
29 March 2025, 7:09 pm
Kila mmoja anatakiwa kutimiza wajibu wake kwa kuchukua tahadhari kwa kila hatua ili kujikinga na kuwakinga wengine. Na Abdunuru Shafii Kamati ya afya ya msingi ya wilaya ya Uvinza imefanya kikao katika ukumbi wa halmashauri kwa lengo la kutoa elimu…
25 March 2025, 9:10 am
Diwani wa wa kata ya kumunyika Bw. Seleman Kwirusha kutoa rai kwa wananchi kuhakikisha wanajikinga na ugonjwa hatari wa homa ya nyami kwa kufuata taratibu za kiafya. Na. Emmanuel Kamangu Diwani wa wa kata ya kumunyika ambaye pia ni Makamu…
14 March 2025, 3:00 pm
Licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kupunguza visa vya malaria, bado kuna changamoto ya baadhi ya wananchi hutumia dawa za Malaria bila kufuata maelekezo ya wataalamu wa afya. Na Abdunuru Shafii Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI…
12 March 2025, 12:41 pm
Wananchi wametakiwa kuimarisha usafi na kujikinga na magonjwa ya mlipuko kama marburg katika maeneo yao. Na Abdunuru Shafii Wakazi wa mtaa wa Mjimwema kata ya Nguruka halmashauri ya wilaya Uvinza wameeleza namna wanavyojikinga na magonjwa ya mlipuko ikiwemo ugonjwa wa…
5 March 2025, 12:00 am
Ameseama jamii inapaswa kuchukua tahadhari kwa kuepuka kugusa au kula nyama ya popo, au nyama ya mnyama wa mwituni akiwemo nyani. Na Theresia Damasi Wananchi wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma na maeneo ya jirani wameshauriwa kuchukua tahadhari juu ya…
28 February 2025, 4:20 pm
Wafanyakazi wa Uvinza FM wamepatiwa elimu juu ya ugonjwa wa marburg na namna ya kujilinda na ugonjwa huo. Na Linda Dismas Msimamizi wa vipindi wa Uvinza fm Bw. Abdunuru Shafii ameeleza namna ambavyo ugonjwa wa Marburg unaenezwa pamoja na kuwataka…