siasa
3 April 2024, 5:16 pm
Watu wa karibu wana mchango gani kwa kijana kuwania uongozi
Leo tunaangazia Watu wa karibu wanamsaidiaje kijana kuwania nafasi za uongozi wa serikali za mitaa ambapo Selemani kodima anatuletea taarifa ifuatayo. Na Seleman Kodima.Ikiwa Mwaka huu Tanzania tunafanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unahusisha kuchagua viongozi kwenye nafasi za…
19 May 2021, 1:39 pm
Philip Mpango:viongozi watumie nafasi zao kwa uadilifu na maslahi ya taifa.
Na; Yussuph Hans Wakuu wa Mikoa wametakiwa kusimamia uchumi wa Nchi kwa kushughulika na Viongozi wazembe, kuheshimu Miiko ya kazi pamoja na kutatua Changamoto za Wananchi. Akizungumza mara baada hafla ya uapisho wa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Taasisi…
5 May 2021, 10:13 am
Waziri Ummy awataka Viongozi wa Mikoa na Wilaya kuendelea kuchapa kazi
Na; Nteghenjwa Hosseah Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa Mhe.Ummy Mwalimu amewataka Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kuendelea kuchapa kazi kama awali na sio kukaa…
30 April 2021, 1:22 pm
RAIS SAMIA SULUHU ASHINDA KWA KISHINDO UENYEKITI CCM
Na; Alfred Bulaya. Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao umefanyika jijini Dodoma hii leo, umemchagua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na…
23 April 2021, 2:58 pm
Rais Samia Suluhu afanya uteuzi mwingine
Na; Ikulu Mawasiliano Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Hedwiga Swai kuwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania. Dkt. Swai anashika wadhifa huo kwa kipindi cha pili baada ya kipindi…
7 April 2021, 1:28 pm
Hotuba ya Rais Samia yawapa faraja wananchi
Na; Mindi Joseph Wakazi Mkoani Dodoma wamesema kupitia Hotuba ya Mh Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliyoitoa jana wakati akiapisha viongozi mbalimbali wa kiserikali imewapa faraja na matumaini makubwa katika kutetea haki za wanyonge na…
16 December 2020, 2:16 pm
Rais Dkt.Magufuli aongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dodoma
Na,Fred Cheti, Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli hii leo ameongoza kikao cha kwanza cha Baraza jipya la Mawaziri aliowateua hivi karibuni.Kikao hicho kimefanyika leo Disemba 16 katika ikulu ya chamwino jijini Dodoma na…
8 December 2020, 3:14 pm
Rais wa Zanzibar Dkt.Alli Mwinyi amuapisha makamu wa kwanza wa Rais
Na Pius Jayunga. Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr.Hussen Ali Mwinyi amemwapisha makamu wa kwanza wa Rais Mh.Maalimu Seif Sharif Hamad na kuwataka viongozi wa vyama vya siasa pamoja na wananchi kuunguna pamoja kuyaendeleza maridhiano.Rais. Dr.…
4 December 2020, 10:33 am
Bozizé akosa sifa ya kuwania Urais C.A.R
Bangui, C.A.R. Mahakama ya Katiba imethibitisha uamuzi wa Tume huru ya uchaguzi nchini humo kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo François Bozizé , hana nafasi ya kuwania urais katika uchaguzi wa Desemba 27 nchini humo. François Bozizé anashtumiwa kwa…
26 November 2020, 7:19 am
Wanawake na fursa za kiuchumi
Wanawake nchini wameshauriwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali za kiuchumi ili kujiongezea kipato ambacho kitawasaidia katika mambo mbalimbali hususan katika kugombea na kuendesha kampeni wakati wa chaguzi. Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Dodoma…