Dodoma FM

MSAADA

8 August 2025, 10:35 am

Aliyejiunganishia umeme kinyemela Nkome adakwa

Mteja kachepusha umeme kwenye njia namba moja na njia namba tatu kwa kuunga waya moja kwa moja kwenye suplaya ya TANESCO Mpaka kwenye kiwanda. Na Edga Rwenduru: Shirika la umeme Tanzania TANESCO mkoa wa Geita limemkamata Joseph Bhukelebe mkazi wa…

3 June 2025, 1:48 pm

Mavunde akabidhi jenereta shule ya msingi Bunge

Umeme unapokatika shuleni hapo wanakosa maji lakini kupatikana kwa genereta hilo watakuwa wanapata huduma ya maji kwa muda wote. Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Antony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya…

1 August 2024, 5:33 pm

Tusiwachukie, tuwape watu vitu

Kanisa la Moraviani Ushirika wa Kongwa limeanzishwa mwaka 2008, ni moja ya makanisa madogo wilayani Kongwa. Na Bernadetha Mwakilabi. Imeelezwa kuwa kuishi katika jamii isiyokuwa na upendo ni sababu kubwa inayopelekea dunia kuwa na matukio ya kikatili na mauaji kwa…

16 August 2021, 1:33 pm

Jamii yaombwa kumsaidia mtoto Feisal

Na; Mariam Matundu. Jamii imeombwa kumsaidia mtoto faisal ambae amezaliwa na uleamvu kupata bima ya afya na mahitaji mengine muhimu kwa kuwa anaishi katika mazingira magumu. Mtoto faisal anaishi na mama yake huku baba mzazi wa mtoto huyo hajulikani alipo,mwandishi…