Dodoma FM

Miundombinu

20 October 2025, 11:50 am

Mradi wa maji miji 28 upo hatua za mwisho Geita

Mradi wa Maji wa Miji 28 Geita ni sehemu ya mpango wa kitaifa unaotekelezwa katika mikoa kadhaa ikiwemo Geita Na Mrisho Sadick: Serikali Mkoani Geita imemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wa miji 28 wa Bilioni 124 kuhakikisha anakamilisha mradi…

18 October 2025, 9:12 pm

Serikali ya ADA TADEA migodi yote kumilikiwa na wazawa

Hatua hiyo inalenga kurejesha mamlaka ya kiuchumi mikononi mwa wananchi na kuhakikisha rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wengi badala ya wachache. Na Mrisho Sadick: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ADA TADEA, Georges Busungu, amesema…

16 October 2025, 8:48 am

EAGT Nazareth Stamico kuanzisha miradi ya afya na elimu

Ujenzi wa hospitali hiyo ni hatua muhimu katika kupanua wigo wa huduma zinazotolewa na kanisa hilo mjini Katoro. Na Mrisho Sadick: Kanisa la EAGT Nazareth Stamico lililopo katika mji wa Katoro wilayani Geita limepanga kuanzisha ujenzi wa Hospitali ya kisasa…

15 October 2025, 3:07 pm

AAFP yasema daktari akizuia maiti anawekwa kwenye jeneza yeye

Ngombalemwiru ameeleza kuwa serikali atakayoiunda itaweka mfumo rafiki wa huduma za afya utakaolenga utu na heshima ya binadamu. Na Mrisho Sadick: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima Tanzania (AAFP) Kunje Ngombalemwiru ameahidi kuondoa kabisa…

14 October 2025, 12:36 pm

Mvua zatatiza shughuli Idifu, wananchi waomba daraja

Hali hiyo imekuwa ikisababisha usumbufu mkubwa kwa wakulima na wafanyabiashara hasa msimu wa masika. Na Victor Chigwada. Wananchi wa vitongoji vya Mugu na Mjiha, vilivyopo Kata ya Idifu, Wilaya ya Chamwino, wameiomba serikali kujenga daraja katika eneo la Nyika, ambalo…

8 October 2025, 6:07 pm

Idadi ya watalii yazidi kuongezeka kisiwa cha Rubondo

Hifadhi hiyo inajivunia kuwa na fukwe za mazalia ya samaki zenye urefu wa zaidi ya kilometa 150 hali ambayo inakifanya kisiwa hicho kuwa za kipekee Na Mrisho Sadick: Idadi ya watalii wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo kilichopo…