Dodoma FM

Miundombinu

17 March 2021, 1:47 pm

Jiji laboresha miundombinu ya maji

Na, Alfred Bulahya, Dodoma. Halmashauri ya jiji la Dodoma imetenga fedha kiasi cha shilingi bilioni 1 kwaajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya maji na barabara ndani ya jiji. Fedha hizo zimetengwa kupitia bajeti ya mwaka 2021/2022 wakati wa…

17 February 2021, 6:28 am

Wananchi Makanda walia na ubovu wa barabara

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Wakazi wa kata ya makanda Wilayani Manyoni wameiomba serikali kufanya ukarabati wa barabara ya Makanda –Kintiku iliyopeteza mawasiliano tangu mwezi desemba mwaka jana 2020.Wakizungumza na Taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema kuharibika kwa barabara hiyo…

5 February 2021, 1:47 pm

Ubovu wa miundombinu wachangia nauli kupanda Engusero

Na,Seleman Kodima, Dodoma. Ubovu wa miundombinu ya barabara katika Kata ya Engusero Wilayani Kiteto umewatia hofu wananchi kuhusu kupata huduma za kijamii wakati huu wa Msimu wa Mvua za Masika. Wakizungumza na Taswira ya Habari baadhi ya wanakijiji wa Kata…

2 February 2021, 12:30 pm

Wananchi waaswa kutunza barabara

Na,Thadey Tesha, Dodoma. Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kutunza miundombinu ya barabara zinazoendelea kujengwa katika mitaa mbalimbali ili zidumu na kuwasaidia katika kujiletea maendeleo. Wito huo umetolewa na mratibu kutoka wakala wa barabara mijini na vijjini TARURA Mkoa wa Dodoma Bw.Lukaso…

20 January 2021, 1:57 pm

Wananchi Ihumwa walalamikia ubovu wa barabara

Na,Victor Chigwada, Dodoma. Baadhi ya wananchi wa Kata ya Ihumwa jijini Dodoma wamelalamikia ubovu wa miundombi ya barabara uliotokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambapo zimesababisha kukatika kwa mawasiliano kutokana na magari kushindwa kufika kwenye kituo cha maegesho.Wakizungumza na taswira ya…

12 January 2021, 12:46 pm

Mafuriko yakata mawasiliano Vijiji vya Mahama na Nzali

Na,Alfred Bulahya, Dodoma. Wananchi wa Vijijini vya Mahama na Nzali katika Kata ya Chilonwa Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma, wametakiwa kuacha kutumia barabara inayopita katika mto Nyasungwi unaounganisha Vijiji hivyo ili kuepusha hatari ya kusombwa na maji yaliyojaa kutokana na mvua…