Dodoma FM

Miundombinu

5 May 2021, 11:09 am

wananchi wahimizwa kutunza miundombinu ya maji na barabara

Na; Thadei Tesha Wananchi jijini Dodoma wametakiwa kuendelea kutunza miundombinu ya maji na barabara ili iweze kutumika kwa muda mrefu kama ilivyokusudiwa. Wito huo umetolewa na wenyeviti wa mitaa ya Kiwanja cha Ndege Bw.Ignas Rufyadira na Bi.Zena Chiuja ambaye ni…

29 April 2021, 1:15 pm

Serikali yajipanga kuondoa mgao wa maji Nchini

Na;Yussuph Hans Serikali imesema inaendelea kujipanga kuhakikisha inaondoa adha ya mgao wa Maji kwa Wananchi katika maeneo mbalimbali hapa Nchini. Hayo yamebainishwa leo Bungeni na Naibu Waziri wa Maji Mh MarryPrisca Mahundi wakati akijibu swali la Mbunge wa Ndanda Mh…

14 April 2021, 12:04 pm

KIBAWASA kutekeleza mradi wa maji Kibaigwa

Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa  endapo mradi mpya wa maji ambao unatekelezwa katika mji mdogo wa Kibaigwa utakamilika utasiaidia kuondoa tatizo la maji kwa wakazi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na afisa uhusiano kutoka mamlaka ya maji Kibaigwa Water Sanitation…

13 April 2021, 1:16 pm

DUWASA kukabiliana na wezi wa maji Dodoma

Na; Mindi Joseph Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Binilith Mahenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira( Duwasa) kukabiliana na wezi wa maji na uvujifu wa maji pamoja na kuwachukulia hatua watumishi wa Duwasa wasio waminifu wanaochangia hasara…

13 April 2021, 8:56 am

Mlebe walia na ukosefu wa maji na umeme kijijini hapo

Na ;Victor Chigwada. Wakazi wa kijiji cha Mlebe  Wilaya ya Chamwino wametoa shukrani  kwa wakala wa usimamizi wa barabarani vijijini TARURA  kwakupunguza adha ya ubovu wa barabara kijijini hapo. Wakizungumza na Taswira ya habari Wananchi hao wamesema kuwa wanaishukuru TARULA…