Dodoma FM

miamala

1 May 2023, 2:49 pm

Madiwani waomba umeme katika Vitongoji

Mrindoko amesema kutakuwa na SWITCHING STATION eneo la mbande itakayosaidia upatikanaji wa umeme pale inapotokea tatizo eneo Moja lisilete ukosefu wa umeme eneo lingine. Na Bernadetha Mwakilabi. Waheshimiwa madiwani ambao ni wawakikishi wa wananchi  wameomba huduma ya umeme kwenye vitongoji…

10 April 2023, 11:50 am

Nishati mbadala kuwanufaisha wakazi wa Makang’wa

Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha kutoka Mfuko wa umoja wa wanawake( UWT) wilayani humo unatarajia kunufaisha moja ya kikundi cha wanawake katika kijiji hicho. Na Fred Cheti Baadhi ya wanawake wa kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino wanatarajia kunufaika na mradi…

1 March 2023, 5:45 pm

Wakazi wa Mahama waiomba Serikali huduma ya umeme

Ikumbukwe Feb 15 Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan alishudia tukio kubwa la kihistoria la utiaji saini mikataba ya utekelezaji wa miradi ya umeme. Na Victor Chigwada                                                       Baadhi ya vitongoji vya kijiji cha Mahama vimeendelea kukosa…

24 February 2023, 4:19 pm

Wananchi walia na uhaba wa Miundombinu ya Umeme Chiboli

Jografia ya kijiji hicho  cha Champumba imekuwa na changamoto katika kusambaza nguzo za umeme licha ya kupewa ahadi ya kusubiri awamu inayofuata. Na Victor Chigwada. Kukosekana kwa Miundombinu ya Umeme ikiwemo Nguzo za Kutosha katika Kata ya Chiboli Wilaya ya…

16 July 2022, 3:55 pm

Waziri Makamba atoa ahadi hii kwa wananchi Sengerema

Waziri wa Nishati Nchini Mh,January Makamba  amewahidi  wananchi Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza  kutatua tatizo sugu la kukatika kwa umeme ili kuwaondolea  adha hiyo inayowakabili  kwa muda mrefu . Waziri  Makamba amesema hayo wakati akizungumza  na wananachi  katika mkutano wa hadhara…

8 June 2022, 3:10 pm

Nishati mbadala itaepusha uharibifu wa mazingira

Na; Benard Filbert. Jamii imeshauriwa kutumia nishati mbadala hali itakayosaidia kuepuka uharibifu wa mazingira hivyo kuchangia mabdailiko ya tabia ya nchi. Ushauri huo umetolewa na meneja wa mamlaka ya hali ya hewa kanda ya kati bwana Isdory Kilenga wakati akizungumza…