Dodoma FM

Maendeleo

15 December 2025, 5:58 pm

DC Jamila: Wekeni mikakati ya kukabiliana na udumavu kwa watoto

“Tukae kwa pamoja tuweke mikakati namna gani ya kupambana na udumavu” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi Jamila Yusuph amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuendelea kusimamia kikamilifu mikakati ya kuhakikisha elimu ya lishe inatolewa kwa wananchi ili…

December 6, 2025, 9:47 am

Jamii yaaswa kuzingatia lishe kwa watoto

”Wazazi wapaswa kuzingatia makundi yote ya ya vyakula wakati wa kumwandalia mtoto unga lishe unakuta mzazi ameandaa mahindi, mchele, ulezi, na ngano bila kujua kuwa hicho alichokiandaa ni kundi moja la chakula ambalo ni wanga” Afisa lishe Halmashauri ya mji…

3 December 2025, 12:18 am

0.7% ya watu 70,000 wakutwa na VVU Karagwe

Juhudi za kupambana na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na unyanyapaa zimeendelea kukumbwa na changamoto ya mwitikio mdogo wa wananchi kupima afya zao na matumizi hafifu ya dawa kinga kwa wanaokutwa na maambukizi Na Ester Albert, Karagwe Jamii wilayani Karagwe…

November 21, 2025, 10:21 am

TMDA yaonya matumizi holela ya dawa

Frank Gasper Mhina afisa kutoka mamlaka ya dawa na vifaa tiba kanda ya ziwa (TMDA) akitoa elimu juu ya visababishi na athari za usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa linalofahamika kama UVIDA. kwa wanafunzi wa chuo cha uwalimu…

13 October 2025, 11:38 am

ACT Wazalendo Kyaka wahimiza amani wakati wa uchaguzi mkuu

Wananchi wa kata ya Kyaka wilayani Misseyi mkoa wa Kagera wametakiwa kudumisha amani ili kulisaidia jeshi la polisi kulinda raia na mali zao hasa wakati huu taifa linapojiandaa na uchaguzi mkuu Na Theophilida Felician Kagera. Chama cha ACT WAZALENDO jimbo…

13 October 2025, 10:06 am

Vyumba 16 vya madarasa vyaleta matumaini kwa wanafunzi wa Mjeloo

Hatua hii itasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi na kuimarisha mazingira ya kujifunzia. Picha na Mtandao. Kupitia mradi wa BOOST, serikali inaendelea kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa kujenga na kukarabati vyumba vya madarasa nchi nzima. Na Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji…

11 October 2025, 6:19 pm

Aliyekuwa diwani Nyatwali atoa ujumbe mzito kwa serikali

Miongoni mwa mazao yanayoweza kulimwa kuwa ni pamoja na mahindi, mpunga, alizeti mbogamboga ambapo viwanda vya kuchakata mazao hayo vitapatikana hapo pia. Na Adelinus Banenwa Malongo Mashimo aliyekuwa diwani kata ya Nyatwali 2020  na 2025 ameishauri serikali kulifanya eneo la…