Dodoma FM

Kwaheri Magufuli

22 February 2023, 1:00 pm

Zifahamu siri za fimbo za kitemi

Simulizi hii inatufafanulia masuala ya fimbo zilizokuwa zikimilikiwa na watemi wa kabila la wagogo na majaabu ya fimbo hizo. Na Yusuph Hassan. Chifu Lazaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu himaya ya Bwibwi jijini Dodoma amesimulia simulizi hiyo ya…

6 February 2023, 5:33 pm

Shule ya Msingi Idifu yashindwa kuhimili wingi wa wanafunzi

Walipokea ahadi kupitia mfuko wa jamii TASAF lakini kutokana na kukosekana kwa utekelezaji imechangia kuwavunja moyo wananchi katika eneo hilo. Na Victor Chigwana Uchakavu na uchache wa madarasa katika shule ya Msingi Idifu  imetajwa kushindwa kuendana na Idadi ya wanafunzi…

3 February 2023, 9:47 am

Simulizi Ya Utawala wa Kitemi katika Kabila La Kigogo

Simulizi hii inatuonyesha maswala mazima ya utawala na vitu mbalimbali ambavyo alikuwa akitumia Mtemi wa kabila la Kigogo. Na Yussuph Hassan Chifu Razaro Masuma Chihoma kutoka katika kata ya Iyumbu Imaya ya Bwibwi jijini Dodoma asimulia simulizi yote hiyo ya…

Ufafanuzi juu ya miundombinu maji taka

31 January 2023, 12:02 pm

Balozi afafanua juu ya Miundombinu ya Maji taka

Balozi wa mtaa wa Bahiroad mariamu omary amelazimika kutoa ufafanuzi juu ya miundombinu ya maji taka. Na Leonard Mwacha Alitoa ufafanuzi huo juu ya shutuma zinazoelekezwa kwa wenye nyumba juu ya kuhusika na uharibifu wa miundombinu ya maji taka. Kwa…

23 March 2021, 6:23 am

Buriani Magufuli Dodoma haitakuona tena

Na; Mariam Kasawa. Hatimaye zoezi la kuuaga mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli limekamilika Jijini Dodoma na sasa ni zamu ya Zanzibar. Leo Machi 23 2021 wananchi wa Zanzibar watapata nafasi ya kutoa heshima zao za mwisho kwa rais…