huduma
31 January 2024, 9:06 pm
Watoto wenye mahitaji maalum hawatakiwi kufichwa ndani
Shule ya msingi Dodoma Viziwi ni taasisi binafsi iliyoanzishwa mwaka 2005 ikiwa na jumla ya wanafunzi watano ambapo uandikishaji wa wanafunzi katika shule hiyo umezidi kuongezeka na katika mwaka huu 2024 imeandikisha jumla ya wanafunzi 22. Na Fed Cheti.Mkuu wa…
6 January 2024, 4:07 pm
Wazazi watakiwa kuhakikisha watoto wanaripoti shuleni Januari 8
Senyamule amekagua ujenzi wa shule ya Sekondari ya Michese unaotekelezwa katika kata ya Mkonze eneo la Michese na kuagiza kukamilika kwa ujenzi huo ili ifikapo tarehe 08 Januari wanafunzi waweze kukaa kwenye madarasa yenye ubora. Na Seleman Kodima.Mkuu wa Mkoa…
4 January 2024, 4:28 pm
Shekimweri ataka mapungufu yarekebishwe Mayeto
Zoezi la ukaguzi wa shule mpya jijini Dodoma zinazo tarajia kufunguliwa january 8 umeendelea ambapo mkuu wa wilaya alipata wasaa wa kutembelea shule mbili ambazo pia zimekamilika. Na Mariam Kasawa.Mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri ametaka mapungufu yaliyopo katika…
6 March 2023, 10:22 am
Mbugani watakiwa kukamilisha ujenzi wa madarasa kwa wakati
Shule hiyo ambayo ni shule shikizi inatakiwa kukamilisha kwa wakati ujenzi wa madarasa mawili ambayo baada ya kukamilika kwake kutakuwa na jumla ya vyumba sita vya madarasa katika shule hiyo ya msingi Mbugani. Na Fred Cheti. Mkuu wa Mkoa wa…
28 February 2023, 5:21 pm
Wanafunzi watembea zaidi ya kilomita 28 kufuata shule
Serikali imeombwa kusaidia kukamilisha ujenzi wa shule ya sekondari ili kurahisha upatikanaji shule hali itakayopunguza gharama kwa wazazi wanaosomesha watoto . Na Victor Chigwada Wanafunzi wa kata ya chiboli wilayani chamwino wanalazimika kutembea umbali wa zaidi ya km 28…
6 February 2023, 5:33 pm
Shule ya Msingi Idifu yashindwa kuhimili wingi wa wanafunzi
Walipokea ahadi kupitia mfuko wa jamii TASAF lakini kutokana na kukosekana kwa utekelezaji imechangia kuwavunja moyo wananchi katika eneo hilo. Na Victor Chigwana Uchakavu na uchache wa madarasa katika shule ya Msingi Idifu imetajwa kushindwa kuendana na Idadi ya wanafunzi…
16 March 2022, 2:06 pm
Faundation for civil society yajadili utoaji huduma bora za kijamii
Na;Mindi Joseph . Taasisi ya Foundation for civil society Leo imekutana na wadau wa habari Kujadili namna ya kuimarisha na kuboresha utoaji wa huduma bora za kijamii kwa wananachi. Akizungumza na Taswira ya Habari Afisa Program Mwandamizi Nicolaus Mhozya amesema lengo…