Dodoma FM
Dodoma FM
15 December 2025, 12:21 pm
Kwa sasa DUWASA inazalisha lita za maji Milioni 88 kwa siku, huku lengo ni kuzalisha lita za maji Milioni 121 kwa siku pindi miradi mikubwa ya maji ya Nzuguni Awamu ya Pili, Miji 28 Chamwino, Mji wa Serikali Mtumba, UDOM…
24 November 2025, 2:57 pm
Wizara itatoa kipaumbele katika kuimarisha huduma kwa wateja ili kupunguza kero na malalamiko ya wananchi. Na Selemani KodimaSerikali kupitia Wizara ya Maji imeanza kutekeleza mkakati maalum wa kuboresha huduma ya maji katika Jiji la Dodoma kwa miradi ya muda mfupi…
8 October 2025, 2:37 pm
Uzinduzi huo umeonesha dhamira ya DUWASA kuendelea kujenga mahusiano bora na wananchi, huku ikiboresha huduma kwa kuzingatia maoni na mahitaji ya wateja wake. Na Selemani Kodima. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi…
17 April 2025, 5:59 pm
Miradi hiyo itasaidia kuongeza hali ya uzalishaji maji huku akisema zaidi ya Bilioni 3 zimetumika kutekeleza mradi wa maji Nala. Na Mariam Kasawa.Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso amewataka watumishi wa Wizara hiyo kuhakikisha wanaishirikisha jamii wanapofanya tafiti za kina…
15 April 2025, 5:41 pm
Eneo la Nzuguni mpaka sasa lina Visima Tisa vilivyokamilika ambavyo vina uwezo wa kuzalisha maji wastani wa lita milioni Ishirini kwa siku. Na Yussuph Hassan.Waziri wa Maji Mhe Juma Aweso amesema licha ongezeko la watu katika jiji la Dodoma lakini…
6 August 2024, 6:13 pm
Itaendelea kushirikiana na mamlaka za serikali za mitaa katika kuhakikisha wanafanikisha upatikanaji wa maendeleo kwa wananchi. Na Seleman Kodima.Katika kuhakikisha wanatekeleza kauli mbiu ya Mwaka huu ya Maonesho ya wakulima na wafugaji Nane nane 2024,Mamlaka ya Maji safi na usafi…
17 July 2024, 5:45 pm
Mhandishi Aron amewaomba wananchi kuhifadhi na kutumia maji kwa uangalifu. Na Mariam KasawaMkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph amewaomba wananchi wa Nzuguni na maeneo yanayohudumiwa na mradi wa maji wa Nzuguni…
15 April 2024, 9:34 pm
Duwasa imeendelea kuhakikisha inakabiliana na changamoto ya upotevu wa maji ambao husababishwa na kupasuka kwa miundombinu ya Mabomba ya maji kutokana na presha kubwa ya maji. Na Mindi Joseph. Msukumo mkubwa wa maji umetajwa kuchangia Kupasuka kwa miundombinu ya mabomba…
27 March 2024, 5:10 pm
Mradi wa Maji Nzuguni umegharimu bilion 4.3 lengo likiwa ni kuboresha huduma ya usambazaji maji katika kata na jiji la Dodoma kwa ujumla. Na Mindi Joseph.Kukamilika kwa Mradi wa awamu ya kwanza wa Visima 5 vya maji Eneo la nzuguni…
26 March 2024, 7:13 pm
Mhandishi Aron Joseph akiwa sambamba na wataalamu kutoka Mamlaka hiyo na Viongozi wa kata hiyo kufanya Ziara katika mtaa huo ambao unakabiliwa na changamoto ya kuziba kwa mifumo ya maji taka . Na Seleman Kodima.Utupaji taka ovyo katika mifumo ya…